Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Dah this is more than enough! Kwa mpenz wa yutyubu kama mimi ni full burudani tu tena hiko nzuri unaweza share costs na jirani yako mkawa mna enjoy tu kuangalia ma movies netflix bila kokoro mwezi mzima.Well, mie natumia fiber network ya TTCL na ninalipa 200,000 kwa mwezi kwenye hicho kifurushi cha 100/50 mbps.
Limit ya kifurushi ni 1TB kwa mwezi at maximum speed na kwa kweli huduma ipo very reliable. Ukiwa unatumia unaweza strea 4k contents bila buffering.
based on that, mie napigia chapuo TTCL all the way.
Asante
Roughly utatakiwa utumie 33GB kila siku ili uweze ku exhaust hilo bundle kwa mwezi mzima. Labda mulishambulie watu wawili hata hivyo siku za kazi ni ngumu kulimaliza unless uwe downloader mzuri wa softwares na large content kama series.
Kulifaidi zaidi ni on weekends na tena muwe sio watu wa kutoka.