Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Hao wenye fiber mjini wengi ni wadosi, wanaijua vizuri hii biashara, nje ya Mji hailipi.Ndio twaweza usa business plan kwa wadosi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wenye fiber mjini wengi ni wadosi, wanaijua vizuri hii biashara, nje ya Mji hailipi.Ndio twaweza usa business plan kwa wadosi.
router bei gani uliyonunuaTTCL
ttcl wana 1.Fibre optic ambayo iko baadhi ya sehemu hasa Masaki na wana 2.copper connection ambayo wanatumia waya na nguzo zilezile zilizokuwa zikitoa huduma ya simu za mezani na fax.
Hapa nitazungumzia copper connection ambayo mimi nimeweka nyumbani, ukiwa nje au karibu na nyumba kuna nguzo ya ttcl na ina waya, unaweza kuomba waje kufanya utafiti kama line iko active.
Wakikuta iko hai utakwenda kulipia.
Wana Vifurushi vitatu 1. Speed 2~3 mbps. (25,000/-) 2. Speed 5.5~6.2 mbps. (50,000/-). 3. Hiki ni 80,000/- lakini sijajua speed.
Kwa ninacho tumia mpaka kinaenda vizuri.
Tatizo moja tu nilipoomba walisema hawana router ilinibidi niagizie router yangu mwenyewe. Wanatumia ADSL 2+ routers.
Safi sana mkuu, speed iko vizuri au?TTCL

TTCL

Nilipata kwa shs 145,000router bei gani uliyonunua
Kwa tv hasa smart tv zenye hd resolution bora ya 80,000.lakini sijajua itaongezeka speed kiasi gani. kua makini maana nimetaka pia upgrade ya 80k lakini mpaka leo haijakaa sawa.kwahiyo kwa ttcl tuchague ipi ndo yenye speed nzuri kwa tv ana simu tu
Mpaka sasa speed iko stable na nimemtumia kwa mwezi mzima bila kupungua, sijui kwa baadae.Safi sana mkuu, speed iko vizuri au?
Hakuna limit ya matumizi?
Ndiyo lakini kwa speed walioandika haifikii.View attachment 2098793
Bila shaka ni hii.
Kama nilivyoandika juu kwa hii sijajua maana ninataka ku upgrade sasaAsee! Inaishia ngapi?
KinondoniSamahani kama sitakusumbua ni maeneo ulipo?
kinachobailika ni profile ya hio laini km ilikua for normal services za internet wao wanaweka kwenye hio profile, the difference is a speed, mfano ni supakasi inakua na high priority, then normal internet follows, watu wa IT wananielewa, you can priotize services per source ya traffic or service levelMkuu hiyo line ya supakasi ipoje
Dah nimepata maarifa sana. Dedicated bei gani mkuu?Kingine km wanatumia DSL wao wanaunganisha na copper cables and not fiber kule mwisho....from your router to fiber terminal, na wanaposema unlimited that's is a business term but hakikicha unachukua dedicated instead of unlimited, (dedicated ni kua km umelipia 10Mbps unapata hio download and upload) but unlimited, mnagombania....mnawekwa kwenye same pool all users in that zone ndio maana km user ni wengi in that zone speed ya internet inakua very slow mpaka wakati mwingine hata page haifunguki..
Ni kwa TTCL sio?Kingine km wanatumia DSL wao wanaunganisha na copper cables and not fiber kule mwisho....from your router to fiber terminal, na wanaposema unlimited that's is a business term but hakikicha unachukua dedicated instead of unlimited, (dedicated ni kua km umelipia 10Mbps unapata hio download and upload) but unlimited, mnagombania....mnawekwa kwenye same pool all users in that zone ndio maana km user ni wengi in that zone speed ya internet inakua very slow mpaka wakati mwingine hata page haifunguki..
yesNi kwa TTCL sio?