TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

Yes, nina maanisha ethernet cables kwa ajili ya devices kama tv, ps, na computers.

Then vitu kama simu na portable machines unaunganisha wifi.

12mbps napata wakati wa kudownload na natumia IDM kama kipimo. Ikishuka sana inafika 7
100mbps ni 12.5MBps ya IDM. hivyo mkuu hio speed bado inaonesha fiber ina capacity nzuri, sometime speed inaweza shuka sababu ya server pia unapodownload content.
 
Kunakuwa na waya mmoja unaoingia kwenye nyumba na unachomekwa kwenye router yako.

Then router inakuwa na outlets za ethernet unazoweza plug kwenye devices au ukaamua kutumia wifi tu kama hutaki cables around
Umeeleweka mkuu
 
Speed ni nzuri sana hasa ukizingatia hii fibre ni shared line so hupati 100/50 mbps ila mie by average inakuwa 9-12mbps

Pia gharama zako kwa unaetaka kuunganishwa ni kununua router tu na kufanya cabling ya fiber ambapo unaweza ukaachakana a cabling ukaweka tu wifi router japo nashauri utandaze waya wa fiber maana kwa mtazamo wangu speed yake na connection inakuwa reliable zaidi kuliko kwenye wifi.

Mie nichomeka waya mmoja kwenye tv na ps.

karibu
Mkuu samahani, naomba ufafanuzi unaposema speed inashuka mpaka 12mbps on average ni 12megabytes ama 12megabits? Manake kama itakua ni 12mbps(megabits) nahisi speed inapungua sana?
 
Hio unlimited haikatiki katiki?

Usije ukawa utoto wa kuambiana unlimited kama ile bundle ya week af baada ya siku 3 lina expire kilazima ili tu ununue jengine kama washenzi flani wanavyotufanyia?
Mkuu, mimi ni fundi simu wa software kwa siku natumia si chini ya 20GB maana kushusha files za 4GB-7GB ni kawaida na kwa siku nashusha files kuanzia tano na kuendelea acha hizi za 2GB na 1GB

Njoo mtaa wa Aggrey pita kwa fundi simu yeyote yule anayefanya software kisha muulize anatumia internet ya kampuni gani, jibu litakuwa ni zuku

Na hawakati wala kupunguza speed maana kama mimi kazi yangu bila internet haiendi kabisaaa
 
Mkuu Zuku waje na Tabata basi
 
Safi sana. Hizi mambo zisambazwe nchi nzima.
 
Back
Top Bottom