TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

TTCL kama unaishi eneo ambalo miundombinu ya fiber imepita...

Unlimited internet huwa inakuwa hivi mara nyingi... Unapewa kiasi fulani cha data with maximum throughput, kile kiasi kikishakwisha basi unakuwa allocated kwenye speed ndogo
Nipo hapa Ubungo Kinesi.

Kesho nawacheki vizuri.
 
Ni hivi, mimi natumia VODACOM SUPAKAS internet since last July, na napata 10mbps kwa gharama ya 115,000 (its unlimited).

Kwa mimi nililipa security fee (2month) na unapewa router free na wanakuja kukufungia antena. Mnaweza tumia hata watu 10 na speed yake is good honestly unaweza download hata movies au kustream.

Payment yao ni post paid.

Sijawahi tumia TTCL fiber but nitajariubu kuulizia pia hiyo supakasi simcard nione inakuwaje
 
Hiyo unayotumia ndio nilikuwa nataka, jamaa wa Voda Shop hawakunielewa. Si unajua bongo mazoea mengi, ukute voda shop nzima wanadili na Malaini na Mpesa.

Mkuu nilitaka maoni kutoka kwako ahsante mtu ambae una uzoefu nao.

Ningependa kujua gharama za mwazo hadi napata Vodacom Supakasi kufungiwa antena na modem, japo, unasema ni bure. Nataka jua tu unacholipa mpaka unakua Subscriber.
 
Kwa hiyo line hiyo haina gharama za ziada zaidi ya kulipia hiyo 50k?
Ndio waliniambia.

Anyway sio hicho nilikuwa nataka. Mdau hapo juu kaongelea nilichokuwa nataka.

Labda nikaulizie zaidi.
 
Kuna form unapewa unaijaza, then niliambiwa nilipie Security fee (230,000) ambayo walisema wanarefund ukiunistall.

Hii huduma nafikiri shops back office ndo wanaifahamu, kwa voda shops staffs wa mbele ya count nahisi wengi hawajui kwani imekaa ki-corporate sana.
 
Ila mkuu nimesoma vizuri hio karatasi ya TTCL. Rudi waclarify hio DSL modem, maana Fiber haitumii DSL modem bali inatumia Router za kawaida hizi, Router za Adsl ndio zinakuwa na Modem.
 
Funga zuku, kwa mwezi 70,000 uone balaaa lake.
 
TTCL wako vizuri speed? Hawana longo longo?
Sijatumia Fiber ya TTCL ila sijawahi ona Tanzania Fiber yoyote inayo operate kwa Chini ya kiwango, Zuku wenyewe ukiwa mlipaji mzuri wana double speed, ina maana Hakuna wateja wanaoweza kui overload.

Hapa naongelea Fiber mkuu, kama ni Internet nyingine inaweza kuwa slow.
 
Shukuran sana.
 
Ila mkuu nimesoma vizuri hio karatasi ya TTCL. Rudi waclarify hio DSL modem, maana Fiber haitumii DSL modem bali inatumia Router za kawaida hizi, Router za Adsl ndio zinakuwa na Modem.
Shukuran sana mkuu. Umenisaidia sana. Nitarudi kesho mapema.

Maana mambo ya 3k kwa siku yanaumiza.
 
Natumai sitakuchosha. Je, Matumizi yako ya internet yanavuka 100gb?
 
Hamnaga kitu kama unlimited kwa pesa hizo! Tena hao Voda ndio matapeli kabisa
Voda ipo mzee sisi tunatumia ofisini huu unaenda MWAKA 2. Kuna kipindi huduma ilisuasua ila kuanzia mwaka jana katikati mwanzo mwisho inakimbiza hata router walitupa kubwa ya HUAWEI awali tulikuwa tunatumia Mi-fi za ALCATEL.

KWA makadilio ya matumizi kwa miezi 3 tangu Novemba mpaka leo nilivyoangalia tushatumia zaidi ya terabyte 2 za data(2tb)
ambazo tumelipia kama laki 3 na 45 kwa maana ya laki na 15 kwa mwezi.

Hivyo tunaweza sema tumenunua gb 700 kwa laki tu na 15 kila mwezi na mimi ndio natumia sana sababu ndio pekee nadownload mafile makubwa makubwa kwa siku 1 naweza downloda hata gb 20 ni movie tu au APPS

hyo ndugu namshauri achukue VODA
ttcl ni kichomi hutakuja kujuta baadae

VODA unlimited ni REALY sio blahblaha

ila tu vigezo mashart kuzingatiwa hapo ndio kipengele
 
Ahsante sana mkuu.
Unachofanya ndio nafanya ndio maana nahitaji mzigo wa Internet.
Umenipa mwanga sana

Kama hutajali unaweza sema vigezo na masharti vinakuaje kipengele
 
wewe nenda na vielelezo vy ofisi yako maana kuna mashart na vigezo kuzingatiwa
unatakiwa kulipa kwanza ni miezi miwili ya mwanzo cash
unapewa router na laini maybe km hujui kufanya CONFIGURATION ya ROUTER kuweka password na jina lako watakuelkeza ila km mjanja unaondoka na box la router na laini unaenda kupachika imeisha hiyo unateleza na TORRENT tu
 
Ahsante sana mkuu.
Unachofanya ndio nafanya ndio maana nahitaji mzigo wa Internet.
Umenipa mwanga sana

Kama hutajali unaweza sema vigezo na masharti vinakuaje kipengele
mkataba ni mwaka kila mwezi ni laki na 15 utumie internet usitumie unalipa tu hiyo laki na 15
ikifika tarehe ya kulipa ujalipa wanaminya speed hata kufungua picha whatsaap kipengele
ukikaa miezi 2 bila kulipa kisha watatu ukaenda kulipa mwezi mmoja unaambiwa umelipia mwezi mmoja unaodaiwa bado mmoja na bado huduma hupati
yaan ukikaa miezi miwili bila kulipa unatakiwa uende na laki 3 na 45 ndo upate huduma
ndo maana hii huduma wanapenda watu wa ofisini siyo mtu mmoja 7bu wabongo longolongo na VODA wazungu longolongo hawataki

hvyo km unajijua ofisi yako ni tiamajitiamaji achana tu na voda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…