TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

Jaman wakweli kabisa waniambie nitumie kampun gan ambayo kdg ina kasi Chief ??
Fiber ni Fiber tu mkuu mlolongo upo hivi
-Fiber iwe priority
-mobile data choice ya pili kina Voda
-Adsl icase huna uwezo wa ku afford ama hizo za juu hazipo eneo lako
-Satelite incase option za juu kwako hazipo.

Hivyo kama TTCL fiber ipo jitose.
 
Of course lkn kama shm ambayo upo fiber Bado jitose Kwa hz system

LTE ambyo ni kama supakasi ambayo Voda ana offer.
MW pia Voda ,Simbanet,raha,connect,zuku na wengne wanaoffer.
FWA Bado haijafika ila soon Voda watalaunch hii.

Note LTE ni outdoor means unaeza tumia Ata ukiwa nje ya jengo
FWA ni indoor so ikianza itakua untumia ndani tu

Ukishndwa zote kufuatana na bei ni uunge bando lako la 3k Kila sku
 
Hiyo FWA itakua ni 5G ama?
 
Tofauti ya LTE na MW ni nini?
 
Tofauti ya LTE na MW ni nini?
LTE is currently like 4G means data znatransfer using radio waves kupitia minaraa na MW microwave means lazima upate dish na attenna ndo uweze pata internet through microwave always inakua hv

FWA relatively less cost ila ndani only
LTE less cost maybe up to 100m
MW high cost up to 500m
Fiber highest cost

Ukifuatilia kampuni nyng kubwq zinatumia MW meaning Wana internet Yao special ambyo tunasema dedicated internet ambayo ni costful

Kama ujanielewa niambie
 
Back
Top Bottom