Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Fiber inakuwa na Cost kubwa kama una Assume upo mtu mmoja unaletewa internet, ila kama Kampuni imesambaza waya na backbone ipo karibu inakuwa Na cost ndogo.LTE is currently like 4G means data znatransfer using radio waves kupitia minaraa na MW microwave means lazima upate dish na attenna ndo uweze pata internet through microwave always inakua hv
FWA relatively less cost ila ndani only
LTE less cost maybe up to 100m
MW high cost up to 500m
Fiber highest cost
Ukifuatilia kampuni nyng kubwq zinatumia MW meaning Wana internet Yao special ambyo tunasema dedicated internet ambayo ni costful
Kama ujanielewa niambie
Sema Hio MV inaonekana si ya kitoto nayo, inasafirisha hadi 10gbps.
Wapunguze tu bei voda.