TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

LTE is currently like 4G means data znatransfer using radio waves kupitia minaraa na MW microwave means lazima upate dish na attenna ndo uweze pata internet through microwave always inakua hv

FWA relatively less cost ila ndani only
LTE less cost maybe up to 100m
MW high cost up to 500m
Fiber highest cost

Ukifuatilia kampuni nyng kubwq zinatumia MW meaning Wana internet Yao special ambyo tunasema dedicated internet ambayo ni costful

Kama ujanielewa niambie
Fiber inakuwa na Cost kubwa kama una Assume upo mtu mmoja unaletewa internet, ila kama Kampuni imesambaza waya na backbone ipo karibu inakuwa Na cost ndogo.

Sema Hio MV inaonekana si ya kitoto nayo, inasafirisha hadi 10gbps.

Wapunguze tu bei voda.
 
Kwa kuanzia anza na ku update driver zote za Ethernet na wifi kisha uangalie kama itasaidia.
Nilisha update mkuu,tena naamini ziko latest driver kwenye kila hardware "hasa network card" na "ethernet" lakini hollaaah.
Pia angalia kama network adapter yake ni hizi za m2 kama za laptop
Namna ya kuangalia hapo ndio changamoto chief,mashine kamefungwa sijui hata naifunguaje kila nikigoogle namna ya kuifungua naona ma picha picha,kamerojeka sana haka kamashine mtu unahisi ukikapga spana tu ndio hakatowaka tena yani😀
 
Issue nyengine pia inawezekana umepigwa pini kwente router, hizi router za kisasa unaweza ku assign kila mtu apate speed gani.
Hii kitu sina uhakika ila kama kuna vimachale flani vinancheza,maana day 1 wananifanyia setting nlimchungulia aliingia kwenye setting za router akawa anabadlisha badlisha vitu nikahs hapa kuna mambo yanafanyika hapa ila nikapotezea, sasa unavyoniambia hapa ndio akli inarudi rasmi... sijui ni reset router>!
 
Nilisha update mkuu,tena naamini ziko latest driver kwenye kila hardware "hasa network card" na "ethernet" lakini hollaaah.

Namna ya kuangalia hapo ndio changamoto chief,mashine kamefungwa sijui hata naifunguaje kila nikigoogle namna ya kuifungua naona ma picha picha,kamerojeka sana haka kamashine mtu unahisi ukikapga spana tu ndio hakatowaka tena yani😀
Mkuu nimecheki Wifi adapter yake ni AC na Lan port yake ni Gigabit ethernet, machine yako ni nzuri na ya kisasa vyote vipo sawa.

Uli update toka website ya HP?

Kama drivers zipo ni tatizo la network, ongea na admin ama kama una pass za router ingia mwenyewe ucheki kama hujapigwa pin.

Umejaribu kurun speedtest kwenye machine yako? Sometime pengine torrent yako inalimit speed na kwengine speed ipo sawa.
 
Hii kitu sina uhakika ila kama kuna vimachale flani vinancheza,maana day 1 wananifanyia setting nlimchungulia aliingia kwenye setting za router akawa anabadlisha badlisha vitu nikahs hapa kuna mambo yanafanyika hapa ila nikapotezea, sasa unavyoniambia hapa ndio akli inarudi rasmi... sijui ni reset router>!
Kama internet wameeka custom Dns/ip inaweza kuzingua uki reset router.
 
Umejaribu kurun speedtest kwenye machine yako? Sometime pengine torrent yako inalimit speed na kwengine speed ipo sawa.
Nafanya hivyo mara kwa mara mkuu,hata nikitumia IDM kushusha kitu either youtube au site zingine IDM inashusha taratbu sana.
Uli update toka website ya HP?
HAPANA MKUU! siku update toka HP SITE nilitumia tu Snappy Driver Updater na Driver Pack Solution
 
Nafanya hivyo mara kwa mara mkuu,hata nikitumia IDM kushusha kitu either youtube au site zingine IDM inashusha taratbu sana.

HAPANA MKUU! siku update toka HP SITE nilitumia tu Snappy Driver Updater na Driver Pack Solution
Jaribu toka website ya HP, ingia paste hio model

Ama weka hotspot na simu kama ina speed ina maana driver zipo sawa kama hotspot ya simu ina speed tatizo ni wifi.
 
LTE is currently like 4G means data znatransfer using radio waves kupitia minaraa na MW microwave means lazima upate dish na attenna ndo uweze pata internet through microwave always inakua hv

FWA relatively less cost ila ndani only
LTE less cost maybe up to 100m
MW high cost up to 500m
Fiber highest cost

Ukifuatilia kampuni nyng kubwq zinatumia MW meaning Wana internet Yao special ambyo tunasema dedicated internet ambayo ni costful

Kama ujanielewa niambie
Nimeelewa so hata ubora unaongezeka kadiri ulivyozilist? I.e least FWA highest fiber
 
Wadau humu kuna mtu yetote amepata hii huduma afafanue wanavyosema bure hakuna kifaa chochote mteja anachotakiwa kununua?
20220718_203207.jpg
 
Nafanya hivyo mara kwa mara mkuu,hata nikitumia IDM kushusha kitu either youtube au site zingine IDM inashusha taratbu sana.

HAPANA MKUU! siku update toka HP SITE nilitumia tu Snappy Driver Updater na Driver Pack Solution
Usitumie hizo Driver pack solution n.k kwa windows 10, unaweza ua hata network adapters, nipishaua network adapter.

Tumia update za windows kawaida, usitumie hizo snappy, dps n.k
 
Back
Top Bottom