Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Mkuu, taja location ili iwe rahisi kukufikia.Wale wa Kibamba tupo kwenye list ama ndiyo "mpaka hapo tutakapojulishwa vinginevyo".
Mkuu mimi sivuti wala situmii bangi.Hao wapo wapo tu hawajui wafanyalo pamoja na pusher wao Kanungila Karim
Tujibu kama fiber imefika Manzese ili tuibukie ofisini Ubungo maana hizo namba hazina majibuWacheki hawa, ndio timu itakayokuja kukufungia hiyo Fiber
0733-600-060 na 0733-000-060
Si nimejibu hapo juu, Fiber zimeshafika huko Manzese Midizini.Tujibu kama fiber imefika Manzese ili tuibukie ofisini Ubungo maana hizo namba hazina majibu
Je fibre optic imefika Mbezi Msakuzi?Si nimejibu hapo juu, Fiber zimeshafika huko Manzese Midizini.
#RudiNyumbaniKumenoga
Si nimejibu hapo juu, Fiber zimeshafika huko Manzese Midizini.
#RudiNyumbaniKumenoga
Mbezi mwsho na kimara bado mkuu maybe upate supakasi ya vodaVipi, mbezi mwisho tayari nikupe kaz?
Vodacom supakasi apo uhakika mkuu sema sjui kuhusu Ttcl maan ndo anahangaikia kusogea uko last time alikua sinzaVipi, mbezi mwisho tayari nikupe kaz?
Bei yake ni ndefu, wangeweka hata kifurushi cha 50k kama wenzaoMbezi mwsho na kimara bado mkuu maybe upate supakasi ya voda
Sema apo changamoto Sema naskia soon ataanza tumia FWA system ko na bei itapunguaBei yake ni ndefu, wangeweka hata kifurushi cha 50k kama wenzao
Fiber ni Fiber tu mkuu mlolongo upo hiviJaman wakweli kabisa waniambie nitumie kampun gan ambayo kdg ina kasi Chief ??
Of course lkn kama shm ambayo upo fiber Bado jitose Kwa hz systemFiber ni Fiber tu mkuu mlolongo upo hivi
-Fiber iwe priority
-mobile data choice ya pili kina Voda
-Adsl icase huna uwezo wa ku afford ama hizo za juu hazipo eneo lako
-Satelite incase option za juu kwako hazipo.
Hivyo kama TTCL fiber ipo jitose.
Hiyo FWA itakua ni 5G ama?Of course lkn kama shm ambayo upo fiber Bado jitose Kwa hz system
LTE ambyo ni kama supakasi ambayo Voda ana offer.
MW pia Voda ,Simbanet,raha,connect,zuku na wengne wanaoffer.
FWA Bado haijafika ila soon Voda watalaunch hii.
Note LTE ni outdoor means unaeza tumia Ata ukiwa nje ya jengo
FWA ni indoor so ikianza itakua untumia ndani tu
Ukishndwa zote kufuatana na bei ni uunge bando lako la 3k Kila sku
5G kwetu Bado sana mkuu but u never know maybe ata I launch Voda pamoja na FWA coz FWA inafaa sana in areas ambazo 5G Iko vzriHiyo FWA itakua ni 5G ama?
Tofauti ya LTE na MW ni nini?Of course lkn kama shm ambayo upo fiber Bado jitose Kwa hz system
LTE ambyo ni kama supakasi ambayo Voda ana offer.
MW pia Voda ,Simbanet,raha,connect,zuku na wengne wanaoffer.
FWA Bado haijafika ila soon Voda watalaunch hii.
Note LTE ni outdoor means unaeza tumia Ata ukiwa nje ya jengo
FWA ni indoor so ikianza itakua untumia ndani tu
Ukishndwa zote kufuatana na bei ni uunge bando lako la 3k Kila sku
LTE is currently like 4G means data znatransfer using radio waves kupitia minaraa na MW microwave means lazima upate dish na attenna ndo uweze pata internet through microwave always inakua hvTofauti ya LTE na MW ni nini?