Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
4mbps halafu tena katika hiyo hiyo 4mbps unapewa 500kbps, mbona kama sijawaelewa?
4mbps ni downloding na 1mbps ni upload
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
4mbps halafu tena katika hiyo hiyo 4mbps unapewa 500kbps, mbona kama sijawaelewa?
Huduma za TTCL ni za ajabu sana, fiber imekata Toka alhamisi mpaka leo ni siku ya 5 huduma sipati hapa nilipo... Nimefatilia sana ila naona Mambo ya ajabu tu... Watumishi wa hili shirika ndo wanaliua.. upuuzi kama huu unasababisha shirika watu waliogope.. nosense kabisa
Just assume nipo less than a km Toka makao makuu ya shirika la TTCL ya mkoa nliopo na huduma zinakuwa ovyo kiasi hiki, vipi walioko wilaya tofauti inapotokea kukosekana kwa huduma inakuwaje.. waache kufanya kazi kimazoea yaani kama vile shirika halijajiandaa kufanya kazi
Kwamba fiber ya ttcl ipo morogoro road?
Ttcl Adsl kuanzia Ubungo Mataa kuelekea Kimara, Mbezi Mwisho nk haipo, wanadai raia walishaharibu miundombinu.
Ttcl fiber kwenye maeneo hayo wanasema wanamsubiri mzabuni alete vifaa ndio wataanza kuwafungia waliofanya maombi tayari.
Wanachofanya kwa sasa ukienda unajaza form yao, kisha unasubiri mafundi wanaofanya survey ya kila Jmos na Jpili.
NB: Kama ttcl wameshindwa kucover fiber Dar tuu, kimkoa kidogo namna hii, sijui huko mikoani watakuja wafikiwe lini.
View attachment 2377762
vifaa vina gharimu shingapi?Mkuu, bora ujiongeze ujinunulie vifaa kisha fundi anakuja kukufanyia survey na ufundi BURE kuliko kukaa na kusubiri vifaa toka shirikani
Mkuu coverage yake ikoje kwa Hapa dar....Ipo Tanzania nzima
Huduma nilifungiwa, ila changamoto ilipojitokeza ya kukosa huduma ndo ubovu wa customer care ilipojitokeza... Kutatua shida ilichukua kama siku 10 tena za kuzunguka sana ofisini kwao... Technician wao unawapigia simu hawapokei, ukifika ofisini ndo wanajifanya kukuchangamkiaNitumie majibu yafuatayo PM kwangu.
1. Sehemu unayotaka kufungiwa hiyo huduma.
2. Namba yako ya simu ambayo ipo hewani muda wote.
Speed tu inadrop ama internet inakata kabisa?Huduma nilifungiwa, ila changamoto ilipojitokeza ya kukosa huduma ndo ubovu wa customer care ilipojitokeza... Kutatua shida ilichukua kama siku 10 tena za kuzunguka sana ofisini kwao... Technician wao unawapigia simu hawapokei, ukifika ofisini ndo wanajifanya kukuchangamkia
Internet ilikata kabisa(lilikuwa suala la system Yao), kuhusu suala la speed wako vizuri sana kwakweli...Speed tu inadrop ama internet inakata kabisa?
Nilipita ofisini kwao wamesema haijafika huko.Ipo Tanzania nzima
Supakasi internet
Speed up to 20mbps -115,000 per month
Get anywhere Kwa Tanzania nzima
Requirements
-new line Voda
-copy tin no
-copy ID
For more info call 0744355811
Yes boss ni huduma mbili tofautJamaa mbona hii post yako inanishtua.
Kwamba kuna 20mbps kwa 115k
Na 30mbps kwa 120k
Au ndio hadi uwe kwenye eneo la 5G ndio unapewa 30mbps kwa 120k!? [emoji102]
Yes boss ni huduma mbili tofaut
Kwa Tabata 4g na, 5g zinapatikana maeneo yapi kaka, kabla hatujawasilianaSupakasi internet
Speed up to 20mbps -115,000 per month
Get anywhere Kwa Tanzania nzima
Requirements
-new line Voda
-copy tin no
-copy ID
For more info call 0744355811
Class 7 mbona mbali, katiba inasema mbunge ajue kusoma na kuandika tu basi.Yaani nchi za Africa bado sana yaani kwa ulimwengu wa sasa internet ni basic need.
Ubunifu unazimwa na vitu vingu sana nawashauri vijana wakipata fursa kutimkia majuu wasipepese macho nchi nyingi za Africa viongozi hawajielewi ndio chanzo kikubwa , unatarajia mtu class 7 dropout akutungie sheria nzuri za kukutetea na kuhakikisha internet inakuwepo mjengoni 24/7.
Kujua nguzo ya internet ndo kipengeleNi unlimited, speed inategemea na unachonunua.
25000 ni 4mbps (500KB/s)
50,000 ni 8mbps (1MB/s)
55,000 ni 20mbps (2.5MB/s)
Sema hicho cha 55,000 ni maneno yenye fiber na cha 25k na 50k ni adsl. Kama kwenu kuna zile nguzo za simu na waya zipo utapata.
Kupata unaenda ofisi za TTCL.
HahahaKweli nimekumbuka kuna vipanga walikuwa wanaiba mafuta ya transfoma