TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?


Nitumie majibu yafuatayo PM kwangu.

1. Sehemu unayotaka kufungiwa hiyo huduma.

2. Namba yako ya simu ambayo ipo hewani muda wote.
 

Mkuu, bora ujiongeze ujinunulie vifaa kisha fundi anakuja kukufanyia survey na ufundi BURE kuliko kukaa na kusubiri vifaa toka shirikani
 
Nitumie majibu yafuatayo PM kwangu.

1. Sehemu unayotaka kufungiwa hiyo huduma.

2. Namba yako ya simu ambayo ipo hewani muda wote.
Huduma nilifungiwa, ila changamoto ilipojitokeza ya kukosa huduma ndo ubovu wa customer care ilipojitokeza... Kutatua shida ilichukua kama siku 10 tena za kuzunguka sana ofisini kwao... Technician wao unawapigia simu hawapokei, ukifika ofisini ndo wanajifanya kukuchangamkia
 
Speed tu inadrop ama internet inakata kabisa?
 
Supakasi internet

Speed up to 20mbps -115,000 per month

Get anywhere Kwa Tanzania nzima
Requirements
-new line Voda
-copy tin no
-copy ID

For more info call 0744355811
 
Supakasi internet

Speed up to 20mbps -115,000 per month

Get anywhere Kwa Tanzania nzima
Requirements
-new line Voda
-copy tin no
-copy ID

For more info call 0744355811

Jamaa mbona hii post yako inanishtua.
Kwamba kuna 20mbps kwa 115k
Na 30mbps kwa 120k

Au ndio hadi uwe kwenye eneo la 5G ndio unapewa 30mbps kwa 120k!? [emoji102]
 
Jamaa mbona hii post yako inanishtua.
Kwamba kuna 20mbps kwa 115k
Na 30mbps kwa 120k

Au ndio hadi uwe kwenye eneo la 5G ndio unapewa 30mbps kwa 120k!? [emoji102]
Yes boss ni huduma mbili tofaut
 
Supakasi internet

Speed up to 20mbps -115,000 per month

Get anywhere Kwa Tanzania nzima
Requirements
-new line Voda
-copy tin no
-copy ID

For more info call 0744355811
Kwa Tabata 4g na, 5g zinapatikana maeneo yapi kaka, kabla hatujawasiliana
 
Class 7 mbona mbali, katiba inasema mbunge ajue kusoma na kuandika tu basi.
 
Kujua nguzo ya internet ndo kipengele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…