Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Unataka ADSL au Fiber? Tuanzie hapo kwanza mkuuMkuu, maeneo hayo hamna adsl, na fiber bado hawajaanza kuweka.... Kama huko manzese,Magomeni haipo sembuse huku Kibamba?
Hii hamna kitu , huwezi linganisha na WIA au ZukuSupakasi internet
Speed up to 20mbps -115,000 per month
Get anywhere Kwa Tanzania nzima
Requirements
-new line Voda
-copy tin no
-copy ID
For more info call 0744355811
Yoyote ile inayopatikana maeneo hayo mkuu...Unataka ADSL au Fiber? Tuanzie hapo kwanza mkuu
#RudiNyumbaniKumenoga
Mkuu nicheki PM , naona mm nashindwa kukutumia messageMbona nimeshakupa majibu PM ndugu.
#RudiNyumbaniKumenoga
Yes, BigBoss kunafikika.Thanks, nipo Mvuti mkuu, kunafikika ?
Wakuu habari zenu.
Natumai mu wazima.
Kutokana na mabando kuwa juu, niliamua kwenda maduka ya TTCL na Voda shop kuangalia home internet.
TTCL walinipa hii details.
View attachment 2097538
Kulingana na matumizi yangu nilipenda hicho cha 55k.
Lakini sijajua wakoje kihuduma plus kununua DSL modem.
Nikaamua kucheki Voda Supa kasi
View attachment 2097542
Voda wana laki 115000 lakini nimeenda Voda Shop Ubungo plaza wananiambia wana Laini ya Supakasi Unlimited 50k kwa mwezi.
Watalaamu naomba ushauri ni ipi reliable isiyo na speed ya kusua sua ili nichukue nihustle kutafuta hela.
Mabando ya 3k kila siku yanaumiza alafu unatumia kibahili sio.
Naombeni msaada sana.
Shukrani in advance.
Nguzo za simu mkuu zimechoka choka, waya zake ni zile za njia mbili, unapita waya mmoja tu, tofauti za za Tanesco ambazo zinakuwa na waya 2 ama 3.
Yes, BigBoss kunafikika.
#RudiNyumbaniKumenoga
Ndio zenyewe hizo, ili kuhakikisha sogea hapo kwenye nguzo utaona kibati kimegongelewa. Kisome kimeandikwaje. Ukikuta kimeandikwa TTCL basi kazi ipo.Wakuu kuna hii nguzo imepita katibu na ninapokaa. Ndio nguzo yenyewe ya TTCL au.
Hizi nyanya sio za umeme
View attachment 2406694
Hio ni fiber ama adsl?Ndio zenyewe hizo, ili kuhakikisha sogea hapo kwenye nguzo utaona kibati kimegongelewa. Kisome kimeandikwaje. Ukikuta kimeandikwa TTCL basi kazi ipo.
#RudiNyumbanIKumenoga
VodacomNi mtandao gani kiongozi?
Wewe watumia ipi kati ya hizo ulizotaja?Hii hamna kitu , huwezi linganisha na WIA au Zuku
Mkuu upo mitaa ipi? Maana mm nipo kibamba ila nimeambiww bado fiber haijafika...Wewe watumia ipi kati ya hizo ulizotaja?
Huko Kibamba fiber haitafika sababu haitawalipa.Mkuu upo mitaa ipi? Maana mm nipo kibamba ila nimeambiww bado fiber haijafika...
115,000 kwa mwezi + 4000 ya Line ya 5GBei jumla mpaka kuungwa?
Apo unapata supakasi chap tu mkuuMkuu upo mitaa ipi? Maana mm nipo kibamba ila nimeambiww bado fiber haijafika...
Kuna package za 5G procedures ni kama hzo alizosema kiongoz ila ad ufanyiwe survey kwanzaEneo likiwa na 5G inakuaje?
Connect Bei chukua Voda chap tu unapataHuko Kibamba fiber haitafika sababu haitawalipa.
We hapo watafute voda au connect wakufungie
Connect Bei chukua Voda chap tu unapata
Mkuu tupatieni vifurushi vya chini kidogo basi angalau 70k au 80k. Hiyo 120k ni parefu kwa wale wanaohitaji bando za matumizi ya kawaida.Apo unapata supakasi chap tu mkuu