TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

Supakasi internet

Speed up to 20mbps -115,000 per month

Get anywhere Kwa Tanzania nzima
Requirements
-new line Voda
-copy tin no
-copy ID

For more info call 0744355811
Hii hamna kitu , huwezi linganisha na WIA au Zuku
 
Wakuu kuna hii nguzo imepita katibu na ninapokaa. Ndio nguzo yenyewe ya TTCL au.

Hizi nyanya sio za umeme

Wakuu habari zenu.

Natumai mu wazima.

Kutokana na mabando kuwa juu, niliamua kwenda maduka ya TTCL na Voda shop kuangalia home internet.

TTCL walinipa hii details.
View attachment 2097538

Kulingana na matumizi yangu nilipenda hicho cha 55k.

Lakini sijajua wakoje kihuduma plus kununua DSL modem.

Nikaamua kucheki Voda Supa kasi

View attachment 2097542

Voda wana laki 115000 lakini nimeenda Voda Shop Ubungo plaza wananiambia wana Laini ya Supakasi Unlimited 50k kwa mwezi.

Watalaamu naomba ushauri ni ipi reliable isiyo na speed ya kusua sua ili nichukue nihustle kutafuta hela.

Mabando ya 3k kila siku yanaumiza alafu unatumia kibahili sio.

Naombeni msaada sana.

Shukrani in advance.

Nguzo za simu mkuu zimechoka choka, waya zake ni zile za njia mbili, unapita waya mmoja tu, tofauti za za Tanesco ambazo zinakuwa na waya 2 ama 3.

Yes, BigBoss kunafikika.

#RudiNyumbaniKumenoga



Screenshot_20221104-155824_Gallery.jpg
 
115,000 kwa mwezi + 4000 ya Line ya 5G

Ila watakiwa lipa Security ya miezi 2
Maana yake kuanza unalipia 230,000
Hii ni kama eneo lako halina 5G
Eneo likiwa na 5G inakuaje?
 
Connect Bei chukua Voda chap tu unapata

Hii budget ya supakasi naona kama inaniletea majaribu hivi [emoji848].
Msipo kuja kunifungia this week naona kabisa hii hela haitatoboa weekend.
[emoji124][emoji17]
 
Apo unapata supakasi chap tu mkuu
Mkuu tupatieni vifurushi vya chini kidogo basi angalau 70k au 80k. Hiyo 120k ni parefu kwa wale wanaohitaji bando za matumizi ya kawaida.
 
Back
Top Bottom