Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,052
- 4,621
Hapo kwenye TIN CERT nimepoteza kigezo tayariHakuna gharama zaidi ya kulipia 230,000
Unapewa router
Kabla ya hapo watakuja kutembelea ili wafanye survey kama 5G inapatikana au lah, kama yapatikana watakupa 5G, kama haipatikani watakupa 4G
Unatakiwa kuwa na Kitambulisho cha NIDA ( sio namba ya nida bali kitambulisho)
Watakiwa kuwa na TIN Certificate
TIN ni bure na certificate bure shida iko wapi mkuu ndugu yangu?Hapo kwenye TIN CERT nimepoteza kigezo tayari
Kama TIN namba ya non business nnayo ila kama ni ya Business sinaTIN ni bure na certificate bure shida iko wapi mkuu ndugu yangu?
Kama TIN namba ya non business nnayo ila kama ni ya Business sina
Shukrani mkuuHiyo hiyo yafaa. Hata mimi nimetumia hiyo.
Ukishalipia hiyo 230,000 then unaendelea kulipa baada ya mwezi mmoja au miezi miwili ya kwanza?Hakuna gharama zaidi ya kulipia 230,000
Unapewa router
Kabla ya hapo watakuja kutembelea ili wafanye survey kama 5G inapatikana au lah, kama yapatikana watakupa 5G, kama haipatikani watakupa 4G
Unatakiwa kuwa na Kitambulisho cha NIDA ( sio namba ya nida bali kitambulisho)
Watakiwa kuwa na TIN Certificate
Utalipia baada ya mwezi 1 kupita.Ukishalipia hiyo 230,000 then unaendelea kulipa baada ya mwezi mmoja au miezi miwili ya kwanza?
Pamoja kiingozi. Ngoja nijilipue na hii nayo nioneUtalipia baada ya mwezi 1 kupita.
Hiyo nyingine ni ya kushika tu
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Upo wapi kijana?Nina uhitaji wa router za ADSL kwa ajili ya huduma ya Internet ya TTCL (copper).
Sio hizi za TTCL kwasababu nimeshachukua mbili na zote zimeungua kutokana na radi katika kipindi hiki cha mvua. Wenzangu wanatumia ambazo sio za TTCL ambapo hata kama kuna hali ya mvua wao wanapiga kazi tu na fundi wa TTCL ameshauri kwa Mafinga nitumie router za tofauti. Sasa niko dar kabla sijaingia hapo mjini kutafuta router naomba wataalam mnielekeze machimbo naweza pata router nzuri kwabei ambayo sio mkasi sana.
Nikupigie picha router yangu nikuonyeshe nimeiaunlock inatumia line zoteNina uhitaji wa router za ADSL kwa ajili ya huduma ya Internet ya TTCL (copper).
Sio hizi za TTCL kwasababu nimeshachukua mbili na zote zimeungua kutokana na radi katika kipindi hiki cha mvua. Wenzangu wanatumia ambazo sio za TTCL ambapo hata kama kuna hali ya mvua wao wanapiga kazi tu na fundi wa TTCL ameshauri kwa Mafinga nitumie router za tofauti. Sasa niko dar kabla sijaingia hapo mjini kutafuta router naomba wataalam mnielekeze machimbo naweza pata router nzuri kwabei ambayo sio mkasi sana.
Nipo darUpo wapi kijana?
Tuma picha bossNikupigie picha router yangu nikuonyeshe nimeiaunlock inatumia line zote
Njoo inbox na bei boss kama iko kwa biashara? Inatumia laini? Internet ya TTCL hii ya ADSL inapokea?
hio ni lte router hajakuelewaNjoo inbox na bei boss kama iko kwa biashara? Inatumia laini? Internet ya TTCL hii ya ADSL inapokea?
Hamna mtandao ambao haisomi inatumia Sim Card za mitandao yote nili-unlock pia unaweza kurudia maelezo yako ili nielewe ni device ya namna gani unahitaji naona jamaa hapo juu anasema sijakuelewaNjoo inbox na bei boss kama iko kwa biashara? Inatumia laini? Internet ya TTCL hii ya ADSL inapokea?
Kwahiyo mkuu kwenye adsl+ haitakubali?hio ni lte router hajakuelewa