TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

Hakuna gharama zaidi ya kulipia 230,000
Unapewa router

Kabla ya hapo watakuja kutembelea ili wafanye survey kama 5G inapatikana au lah, kama yapatikana watakupa 5G, kama haipatikani watakupa 4G

Unatakiwa kuwa na Kitambulisho cha NIDA ( sio namba ya nida bali kitambulisho)
Watakiwa kuwa na TIN Certificate
Hapo kwenye TIN CERT nimepoteza kigezo tayari
 
Hakuna gharama zaidi ya kulipia 230,000
Unapewa router

Kabla ya hapo watakuja kutembelea ili wafanye survey kama 5G inapatikana au lah, kama yapatikana watakupa 5G, kama haipatikani watakupa 4G

Unatakiwa kuwa na Kitambulisho cha NIDA ( sio namba ya nida bali kitambulisho)
Watakiwa kuwa na TIN Certificate
Ukishalipia hiyo 230,000 then unaendelea kulipa baada ya mwezi mmoja au miezi miwili ya kwanza?
 
Nina uhitaji wa router za ADSL kwa ajili ya huduma ya Internet ya TTCL (copper).
Sio hizi za TTCL kwasababu nimeshachukua mbili na zote zimeungua kutokana na radi katika kipindi hiki cha mvua. Wenzangu wanatumia ambazo sio za TTCL ambapo hata kama kuna hali ya mvua wao wanapiga kazi tu na fundi wa TTCL ameshauri kwa Mafinga nitumie router za tofauti. Sasa niko dar kabla sijaingia hapo mjini kutafuta router naomba wataalam mnielekeze machimbo naweza pata router nzuri kwabei ambayo sio mkasi sana.
 
Upo wapi kijana?
 
Nina imani sana na ttcl tumewahi kuitumia ofisini tukiwa na DSL modem yao
 
Nina uhitaji wa router za ADSL kwa ajili ya huduma ya Internet ya TTCL (copper).
Sio hizi za TTCL kwasababu nimeshachukua mbili na zote zimeungua kutokana na radi katika kipindi hiki cha mvua. Wenzangu wanatumia ambazo sio za TTCL ambapo hata kama kuna hali ya mvua wao wanapiga kazi tu na fundi wa TTCL ameshauri kwa Mafinga nitumie router za tofauti. Sasa niko dar kabla sijaingia hapo mjini kutafuta router naomba wataalam mnielekeze machimbo naweza pata router nzuri kwabei ambayo sio mkasi sana.
Nikupigie picha router yangu nikuonyeshe nimeiaunlock inatumia line zote
 
Tuma picha boss
20221226_213654.jpg
20221226_213646.jpg
20221226_213702.jpg
 
Njoo inbox na bei boss kama iko kwa biashara? Inatumia laini? Internet ya TTCL hii ya ADSL inapokea?
Hamna mtandao ambao haisomi inatumia Sim Card za mitandao yote nili-unlock pia unaweza kurudia maelezo yako ili nielewe ni device ya namna gani unahitaji naona jamaa hapo juu anasema sijakuelewa
Photo3824.jpg
 
Back
Top Bottom