Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,052
- 4,621
Hapo kwenye TIN CERT nimepoteza kigezo tayariHakuna gharama zaidi ya kulipia 230,000
Unapewa router
Kabla ya hapo watakuja kutembelea ili wafanye survey kama 5G inapatikana au lah, kama yapatikana watakupa 5G, kama haipatikani watakupa 4G
Unatakiwa kuwa na Kitambulisho cha NIDA ( sio namba ya nida bali kitambulisho)
Watakiwa kuwa na TIN Certificate