TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?


Sinaweza lipa mwaka wote?
 
Wacheck na ZUKU FIBER, wako poa bei bafuu
 
TTCL wamebadilika sana.Sasa wana kasi sana ya kufunga fiber Internet majumbani.Mimi walinifungia siku ya Ijumaa kuu hapa wilayani Kasulu.Nilifungiwa wiki moja baada ya kujaza fomu yao.Pia jana walikuwa wanamfungia mteja mwingine.Siku hizi wanafanya kazi muda wote bila kujali kama ni siku ya kazi au la.

Hizi hapa ni speed test nilizofanya kwenye link yao.Hii ni ulimited unadownload unavyotaka kwa mwezi ni laki moja speed ni 40mbps/20mbps.
Kwa ufanisi huu nawapongeza sana.
 
Hii ping ni hapa hapa Tanzania? Imetumia server gani? Jaribu labda kucheki detailed result kuona zaidi
 
Voda uhakika
 
Hii ping ni hapa hapa Tanzania? Imetumia server gani? Jaribu labda kucheki detailed result kuona zaidi
Ni hapa Tanzania angalia detailed result.
 

Attachments

  • Screenshot_20230417_160807_Speedtest.jpg
    96 KB · Views: 38
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…