TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

Signal vipi zinafika mahala parefu? Ni wifi 5? Ni 802.11Ac?
Screenshot_20230415-182533.png

Nimejaribu kuangalia details zake izo.
 
haaa hayo mambo ya slip ya bank sijui na kipato sidhani kama wanahitaji mzee
walivyokuja walitaka tu TIN namba na leseni ya kampuni tu maybe kujiridhisha km mlipa kodi mnzuri
mana first time walivyokuja kututongoza walinikuta mm coz mdada wa reception hawakuelewana mm nikawasikiliza maongezi yao nikaona matamu nikamulewesha boss akaelewa basi wakamalizana wenyewe sasa sijui BOSS alitoa vielelezo gani ila awali waliniambia inahitajika TIN namba na leseni tu

Sinaweza lipa mwaka wote?
 
Wakuu habari zenu.

Natumai mu wazima.

Kutokana na mabando kuwa juu, niliamua kwenda maduka ya TTCL na Voda shop kuangalia home internet.

TTCL walinipa hii details.
View attachment 2097538

Kulingana na matumizi yangu nilipenda hicho cha 55k.

Lakini sijajua wakoje kihuduma plus kununua DSL modem.

Nikaamua kucheki Voda Supa kasi

View attachment 2097542

Voda wana laki 115000 lakini nimeenda Voda Shop Ubungo plaza wananiambia wana Laini ya Supakasi Unlimited 50k kwa mwezi.

Watalaamu naomba ushauri ni ipi reliable isiyo na speed ya kusua sua ili nichukue nihustle kutafuta hela.

Mabando ya 3k kila siku yanaumiza alafu unatumia kibahili sio.

Naombeni msaada sana.

Shukrani in advance.
Wacheck na ZUKU FIBER, wako poa bei bafuu
 
TTCL wamebadilika sana.Sasa wana kasi sana ya kufunga fiber Internet majumbani.Mimi walinifungia siku ya Ijumaa kuu hapa wilayani Kasulu.Nilifungiwa wiki moja baada ya kujaza fomu yao.Pia jana walikuwa wanamfungia mteja mwingine.Siku hizi wanafanya kazi muda wote bila kujali kama ni siku ya kazi au la.

Hizi hapa ni speed test nilizofanya kwenye link yao.Hii ni ulimited unadownload unavyotaka kwa mwezi ni laki moja speed ni 40mbps/20mbps.
Kwa ufanisi huu nawapongeza sana.
Screenshot_20230409_074348_Speedtest.jpg
Screenshot_20230409_074429_Speedtest.jpg
Screenshot_20230417_071832_Speedtest.jpg
 
TTCL wamebadilika sana.Sasa wana kasi sana ya kufunga fiber Internet majumbani.Mimi walinifungia siku ya Ijumaa kuu hapa wilayani Kasulu.Pia jana walikuwa wanamfungia mteja mwingine.Siku hizi wanafanya kazi muda wote bila kujali kama ni siku ya kazi au la.

Hizi hapa ni speed test nilizofanya kwenye link yao.Hii ni ulimited unadownload unavyotaka kwa mwezi ni laki moja speed ni 40mbps/20mbps.
Kwa ufanisi huu nawapongeza sana.View attachment 2590982View attachment 2590983View attachment 2590984
Hii ping ni hapa hapa Tanzania? Imetumia server gani? Jaribu labda kucheki detailed result kuona zaidi
 
Wakuu habari zenu.

Natumai mu wazima.

Kutokana na mabando kuwa juu, niliamua kwenda maduka ya TTCL na Voda shop kuangalia home internet.

TTCL walinipa hii details.
View attachment 2097538

Kulingana na matumizi yangu nilipenda hicho cha 55k.

Lakini sijajua wakoje kihuduma plus kununua DSL modem.

Nikaamua kucheki Voda Supa kasi

View attachment 2097542

Voda wana laki 115000 lakini nimeenda Voda Shop Ubungo plaza wananiambia wana Laini ya Supakasi Unlimited 50k kwa mwezi.

Watalaamu naomba ushauri ni ipi reliable isiyo na speed ya kusua sua ili nichukue nihustle kutafuta hela.

Mabando ya 3k kila siku yanaumiza alafu unatumia kibahili sio.

Naombeni msaada sana.

Shukrani in advance.
Voda uhakika
 
Hii ping ni hapa hapa Tanzania? Imetumia server gani? Jaribu labda kucheki detailed result kuona zaidi
Ni hapa Tanzania angalia detailed result.
 
Attachments

  • Screenshot_20230417_160807_Speedtest.jpg
    Screenshot_20230417_160807_Speedtest.jpg
    96 KB · Views: 38
Back
Top Bottom