Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Signal vipi zinafika mahala parefu? Ni wifi 5? Ni 802.11Ac?Nimefungiwa na mm jana ila wachawi bado hawafanyi kazi View attachment 2588766
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Signal vipi zinafika mahala parefu? Ni wifi 5? Ni 802.11Ac?Nimefungiwa na mm jana ila wachawi bado hawafanyi kazi View attachment 2588766
Signal vipi zinafika mahala parefu? Ni wifi 5? Ni 802.11Ac?
haaa hayo mambo ya slip ya bank sijui na kipato sidhani kama wanahitaji mzee
walivyokuja walitaka tu TIN namba na leseni ya kampuni tu maybe kujiridhisha km mlipa kodi mnzuri
mana first time walivyokuja kututongoza walinikuta mm coz mdada wa reception hawakuelewana mm nikawasikiliza maongezi yao nikaona matamu nikamulewesha boss akaelewa basi wakamalizana wenyewe sasa sijui BOSS alitoa vielelezo gani ila awali waliniambia inahitajika TIN namba na leseni tu
Wasiliana nao waifanyie configuration then wakutumie password. Hata mimi ilikuwa hivyo.Nimefungiwa na mm jana ila wachawi bado hawafanyi kazi View attachment 2588766
Wamenambia jumatatu watakuja kufnya.Wasiliana nao waifanyie configuration then wakutumie password. Hata mimi ilikuwa hivyo.
Ime gharimu kiasi gani mkuu??Nimefungiwa na mm jana ila wachawi bado hawafanyi kazi View attachment 2588766
Kila kitu bure unalipia tu kifurushi chako cha mwezi tu.Ime gharimu kiasi gani mkuu??
Okay. WakumbusheWamenambia jumatatu watakuja kufnya.
Ndio inawezekana ukalipa mwaka wote ukiPenda mwenyeweSinaweza lipa mwaka wote?
Wacheck na ZUKU FIBER, wako poa bei bafuuWakuu habari zenu.
Natumai mu wazima.
Kutokana na mabando kuwa juu, niliamua kwenda maduka ya TTCL na Voda shop kuangalia home internet.
TTCL walinipa hii details.
View attachment 2097538
Kulingana na matumizi yangu nilipenda hicho cha 55k.
Lakini sijajua wakoje kihuduma plus kununua DSL modem.
Nikaamua kucheki Voda Supa kasi
View attachment 2097542
Voda wana laki 115000 lakini nimeenda Voda Shop Ubungo plaza wananiambia wana Laini ya Supakasi Unlimited 50k kwa mwezi.
Watalaamu naomba ushauri ni ipi reliable isiyo na speed ya kusua sua ili nichukue nihustle kutafuta hela.
Mabando ya 3k kila siku yanaumiza alafu unatumia kibahili sio.
Naombeni msaada sana.
Shukrani in advance.
Hawa hawahitaji kukumbushwa ni uwakere kabisa.Okay. Wakumbushe
Iko super. Speed test 38/10Mps. Nimelipia 40/20Mps
Hii ping ni hapa hapa Tanzania? Imetumia server gani? Jaribu labda kucheki detailed result kuona zaidiTTCL wamebadilika sana.Sasa wana kasi sana ya kufunga fiber Internet majumbani.Mimi walinifungia siku ya Ijumaa kuu hapa wilayani Kasulu.Pia jana walikuwa wanamfungia mteja mwingine.Siku hizi wanafanya kazi muda wote bila kujali kama ni siku ya kazi au la.
Hizi hapa ni speed test nilizofanya kwenye link yao.Hii ni ulimited unadownload unavyotaka kwa mwezi ni laki moja speed ni 40mbps/20mbps.
Kwa ufanisi huu nawapongeza sana.View attachment 2590982View attachment 2590983View attachment 2590984
Voda uhakikaWakuu habari zenu.
Natumai mu wazima.
Kutokana na mabando kuwa juu, niliamua kwenda maduka ya TTCL na Voda shop kuangalia home internet.
TTCL walinipa hii details.
View attachment 2097538
Kulingana na matumizi yangu nilipenda hicho cha 55k.
Lakini sijajua wakoje kihuduma plus kununua DSL modem.
Nikaamua kucheki Voda Supa kasi
View attachment 2097542
Voda wana laki 115000 lakini nimeenda Voda Shop Ubungo plaza wananiambia wana Laini ya Supakasi Unlimited 50k kwa mwezi.
Watalaamu naomba ushauri ni ipi reliable isiyo na speed ya kusua sua ili nichukue nihustle kutafuta hela.
Mabando ya 3k kila siku yanaumiza alafu unatumia kibahili sio.
Naombeni msaada sana.
Shukrani in advance.
Ni hapa Tanzania angalia detailed result.Hii ping ni hapa hapa Tanzania? Imetumia server gani? Jaribu labda kucheki detailed result kuona zaidi
Kwa fiber mbona ping kubwa sana? Nilitegemea kama 2ms hapo local ping.Ni hapa Tanzania angalia detailed result.
Kwa fiber mbona ping kubwa sana? Nilitegemea kama 2ms hapo local ping.
Hii yenyewe mkuu, shukran