TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

ivi wakuu kwa anayetumia package ya 5G vodacom supakasi ya 120,000/=unajuaje kama kwl umeletewa 5G na sio 4G ya 115,000/= ukiachana na kupima speed kama inafika 30Mbps?
PXL_20230411_114219466.jpg

Watakupa hii router
 
Hao walikuwa hivyo hivyo toka zamani

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana bora zamani mzee aliwakazia kiutendaji walibadilika sana now wamekuwa hovyo sana.
Tuliambiwa na office kila mtumishi lazima awe na laini ya Ttcl coz tulikuwa tukiwekewa vocha kila mwezi ila baada ya mzee kuondoka na vocha zikakata bando likapanda now nimetupa laini yao coz wenyewe ndio walitakiwa wauze bando bei ya chini ila wao ndio wapo juu wanakela sana.
 
Hivi mpaka Leo Elon musk wamembania na internet yake Nina amini angepewa fursa huyu jamaa hapa nchini Hawa wakina voda na mwenzake akili ingewakaa sawa.

Tuna urasimu wa hivyo Sana hii nchi.
Nape alikataa
 
Kuna ambae ameshawahi kutumia hawa jamaa wa konnect? Je speed yao ipo vipi? Je mfumo wa satellite wanaotumia hau hathiliwi na hali ya hewa kama tunavo ona kwenye ving'amuzi?
 
Attachments

  • 20230515_205553.jpg
    20230515_205553.jpg
    2.2 MB · Views: 42
Kuna ambae ameshawahi kutumia hawa jamaa wa konnect? Je speed yao ipo vipi? Je mfumo wa satellite wanaotumia hau hathiliwi na hali ya hewa kama tunavo ona kwenye ving'amuzi?
Inaathiriwa na satelite iwe last option umekosa internet zote ndio nenda huko.
 
Back
Top Bottom