TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

Hao walikuwa hivyo hivyo toka zamani

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana bora zamani mzee aliwakazia kiutendaji walibadilika sana now wamekuwa hovyo sana.
Tuliambiwa na office kila mtumishi lazima awe na laini ya Ttcl coz tulikuwa tukiwekewa vocha kila mwezi ila baada ya mzee kuondoka na vocha zikakata bando likapanda now nimetupa laini yao coz wenyewe ndio walitakiwa wauze bando bei ya chini ila wao ndio wapo juu wanakela sana.
 
Hivi mpaka Leo Elon musk wamembania na internet yake Nina amini angepewa fursa huyu jamaa hapa nchini Hawa wakina voda na mwenzake akili ingewakaa sawa.

Tuna urasimu wa hivyo Sana hii nchi.
Nape alikataa
 
Kuna ambae ameshawahi kutumia hawa jamaa wa konnect? Je speed yao ipo vipi? Je mfumo wa satellite wanaotumia hau hathiliwi na hali ya hewa kama tunavo ona kwenye ving'amuzi?
 

Attachments

  • 20230515_205553.jpg
    2.2 MB · Views: 42
Kuna ambae ameshawahi kutumia hawa jamaa wa konnect? Je speed yao ipo vipi? Je mfumo wa satellite wanaotumia hau hathiliwi na hali ya hewa kama tunavo ona kwenye ving'amuzi?
Inaathiriwa na satelite iwe last option umekosa internet zote ndio nenda huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…