TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

Kifurushi cha 50k hakihitaji special line kwa ufahamu wangu, line yoyote unaunga. Unatumia gb kadhaa zikiisha inakua unlimited kwa speed ndogo.
So hizo line wanazodai ni za unlimited internet ni uzushi tuu...
 
Wakuu mnaotumia supakasi ikitokea katikati apo hujalipia kama miezi miwili kunakua na shida?
Siku ukilipa ya itabidi ulipe na miezi amhayo hukulipa na kama ukilipa ya mwezi mmoja wataikata na kukwambia ulipe tena ili kufidishia miezi

So no matter unatumia au hutumii kulipa UTALIPA
 
Reactions: Lax
Siku ukilipa ya itabidi ulipe na miezi amhayo hukulipa na kama ukilipa ya mwezi mmoja wataikata na kukwambia ulipe tena ili kufidishia miezi

So no matter unatumia au hutumii kulipa UTALIPA
Nimekupata vyema mkuu
 
Unlimited ipo Marekani bana, huku hakuna kitu ila ingekuwa bongo tunapata unlimited kama ya Marekani basi watu wangekuwa hawafanyi kazi kutwa wangekuwa wanaongea na kuangalia video live za kijinga. Hivi vi bundle tumtu anaongea kutoka Gongo la Mboto hadi Tegeta na anachoongea ni upumbavu mtupu.
 
Marekani ni katika nchi zenye Internet ya kawaida tu na Mabando ya Ghali, kama Unaishi mjini Tanzania kuna Internet nzuri tu, Ulaya na Nchi za Asia ndio wanafaidi internet kuna Nchi unapata 1Gbps kwa €20 tu.

Pia Tanzania Unlimited zipo nyingi tu Voda supakasi, TTCL Copper, TTCL Fiber, Zuku, Raha (Liquid) etc. Unatumia hadi Terabytes na huulizwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…