TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

Kusema dar tu haitoshi, Kivule ipo?
Maofa ya Zuku[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Zuku raha sana aisee.

Last month nililipa 40Mbps nikapewa 100Mbps

Mwezi huu nalipia hii 40Mbps nadhan nitapewa 60Mbps

Hawa jamaa wanajua biashara aisee
Screenshot_20220613-084002.jpg
 
Ilikuwa 500kbps (around 60KBps)
Naambiwa hapa baada ya hizo 37GB, speed inashuka mpaka up to 256kbps, yaani hiyo 256kbps ndo maximum. So most of the time inachezea below 256kbps... Ambayo labda nitaangalia video YouTube ya 144p quality, ili niangalie 240p buffering lazima

Kwa speed ya 256kbps(maximum speed), inamanisha napata 32KBps ambayo ni approximately 1.9MB in a min. Kwa masaa 24 ni approximately 2.5GB in 24hrs. Huu utopolo sasa. Yaani in 30 days ni 75GB za mwendo wa Kobe na hapo ni uwe available in every second throughout the month ambayo ni almost imposible. So kwangu Mimi sio kifurushi rafiki

Naomba unipe requirement za TTCL adsl nicheze na mkuki package ya 25000?
 
Yah mkuu Adsl 4mbps ni much better, hakikisha tu una kifaa kisichokula sana umeme kama laptop ama desktop vile vidogo ama simu usiotumia sana. Ukipanga downloads zako usiku around 10GB ukiamka zimeisha. Na matumizi ya kawaida youtube na Netflix ni HD na mpira pia unaangalia kwa 480p uhakika, sometime kama stream ipo stable 720p pia unaangalia.

Adsl inatumia nguzo za simu zile za zamani zenye waya za shaba angalia mtaani kwenu kama zimepita, installation fee ni 55,000.

Ama wapitie ofisini kwao.
 
Kuna gharama za awali ili waweze kuniunganishia TTCL adsl kabla sijalipia kifurushi boss ,Kama vile gharama ya adsl modem/router na connection fees? Na je ni kama kiasi gani hizo gharama?
Ndo hio 55,000 gharama ya Awali.

Alternative ununue mwenyewe router na converter.
 
Yah mkuu Adsl 4mbps ni much better, hakikisha tu una kifaa kisichokula sana umeme kama laptop ama desktop vile vidogo ama simu usiotumia sana. Ukipanga downloads zako usiku around 10GB ukiamka zimeisha. Na matumizi ya kawaida youtube na Netflix ni HD na mpira pia unaangalia kwa 480p uhakika, sometime kama stream ipo stable 720p pia unaangalia.

Adsl inatumia nguzo za simu zile za zamani zenye waya za shaba angalia mtaani kwenu kama zimepita, installation fee ni 55,000.

Ama wapitie ofisini kwao.
Hii itanifaa zaidi kwani kuna jirani hapa about 100m karibu na ofisini kwangu anatumia TTCL adsl. Let me go for this
 
Tatizo lao ni customer care yao utasaga viatu kuwafuata mpaka ukome
Dili na mtu wa survey, ukifika Customer care omba Contact ya mtu wa anaefanya survey, atakupa majibu mazuri zaidi lini wanapita mitaa yenu. Wengi ambao wapo ofisini si technical
 
Aya makampuni ya home fiber yangekuja na alternative ya kufanya point to point ata tununue wenyewe device ila watupe package sawa na zile za watoazo katika home fiber basi wangetusaidia sana tulio nje ya coverage zone

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Tulishalizungumzia humu, unless kuna ruzuku zinatolewa ngumu kwa hawa jamaa ku expand uswazi na maeneo mengine ambayo hayana potential customer wengi. TTCL pekee ndio ana Ubavu huo sababu ina Sugar Daddy.

Potential ninayoiona mimi ni kwenye Wifi, ukipata eneo ambalo lipo juu kidogo unaweza Supply wifi mitaa kadhaa, ikawa fiber inAtumika tu kama backbone ila wifi ndio ina supply Majumbani.
 
Ni kwel usemalo ila nachoisi kaama ghalama za installation ya radio waves itakua juu kulinganisha na walengwa tunao wazungumzia ,ila ngoja kesho nifanye wasiliana na TTCL kujua ghalama zao

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Yah mkuu Adsl 4mbps ni much better, hakikisha tu una kifaa kisichokula sana umeme kama laptop ama desktop vile vidogo ama simu usiotumia sana. Ukipanga downloads zako usiku around 10GB ukiamka zimeisha. Na matumizi ya kawaida youtube na Netflix ni HD na mpira pia unaangalia kwa 480p uhakika, sometime kama stream ipo stable 720p pia unaangalia.

Adsl inatumia nguzo za simu zile za zamani zenye waya za shaba angalia mtaani kwenu kama zimepita, installation fee ni 55,000.

Ama wapitie ofisini kwao.
Hawa hapa ndio nahitaji toka niende ofisini na kumcheki mtu uliyenipa namba zake ni kimya
 
Back
Top Bottom