Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Ilikuwa 500kbps (around 60KBps)Kwa aliyetumia kasi internet ya Vodacom, 37GB za high speed zikikata, speed inashuka mpaka ngapi kwa package ya 50000 unlimited?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwa 500kbps (around 60KBps)Kwa aliyetumia kasi internet ya Vodacom, 37GB za high speed zikikata, speed inashuka mpaka ngapi kwa package ya 50000 unlimited?
Kusema dar tu haitoshi, Kivule ipo?Maelezo haya hapa mkuu kwa niaba ya member Elieza Msuya
Kwa hiyo speed naweza kuangalia 480p video youtubeIlikuwa 500kbps (around 60KBps)
240p uhakika, 360p inawezekana, 480p maybe video iwe haina mambo mengi, ila most of time hutaweza.Kwa hiyo speed naweza kuangalia 480p video youtube
1mbps.Kwa aliyetumia kasi internet ya Vodacom, 37GB za high speed zikikata, speed inashuka mpaka ngapi kwa package ya 50000 unlimited?
Maofa ya Zuku[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Kusema dar tu haitoshi, Kivule ipo?
Nafkiri watakupa 100 tena, kwani zuku wana 60mbps? Ikitoka 40 si inakuja 100?Maofa ya Zuku[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Zuku raha sana aisee.
Last month nililipa 40Mbps nikapewa 100Mbps
Mwezi huu nalipia hii 40Mbps nadhan nitapewa 60Mbps
Hawa jamaa wanajua biashara aisee
View attachment 2259088
Naambiwa hapa baada ya hizo 37GB, speed inashuka mpaka up to 256kbps, yaani hiyo 256kbps ndo maximum. So most of the time inachezea below 256kbps... Ambayo labda nitaangalia video YouTube ya 144p quality, ili niangalie 240p buffering lazimaIlikuwa 500kbps (around 60KBps)
Yah mkuu Adsl 4mbps ni much better, hakikisha tu una kifaa kisichokula sana umeme kama laptop ama desktop vile vidogo ama simu usiotumia sana. Ukipanga downloads zako usiku around 10GB ukiamka zimeisha. Na matumizi ya kawaida youtube na Netflix ni HD na mpira pia unaangalia kwa 480p uhakika, sometime kama stream ipo stable 720p pia unaangalia.Naambiwa hapa baada ya hizo 37GB, speed inashuka mpaka up to 256kbps, yaani hiyo 256kbps ndo maximum. So most of the time inachezea below 256kbps... Ambayo labda nitaangalia video YouTube ya 144p quality, ili niangalie 240p buffering lazima
Kwa speed ya 256kbps(maximum speed), inamanisha napata 32KBps ambayo ni approximately 1.9MB in a min. Kwa masaa 24 ni approximately 2.5GB in 24hrs. Huu utopolo sasa. Yaani in 30 days ni 75GB za mwendo wa Kobe na hapo ni uwe available in every second throughout the month ambayo ni almost imposible. So kwangu Mimi sio kifurushi rafiki
Naomba unipe requirement za TTCL adsl nicheze na mkuki package ya 25000?
Ndo hio 55,000 gharama ya Awali.Kuna gharama za awali ili waweze kuniunganishia TTCL adsl kabla sijalipia kifurushi boss ,Kama vile gharama ya adsl modem/router na connection fees? Na je ni kama kiasi gani hizo gharama?
Hii itanifaa zaidi kwani kuna jirani hapa about 100m karibu na ofisini kwangu anatumia TTCL adsl. Let me go for thisYah mkuu Adsl 4mbps ni much better, hakikisha tu una kifaa kisichokula sana umeme kama laptop ama desktop vile vidogo ama simu usiotumia sana. Ukipanga downloads zako usiku around 10GB ukiamka zimeisha. Na matumizi ya kawaida youtube na Netflix ni HD na mpira pia unaangalia kwa 480p uhakika, sometime kama stream ipo stable 720p pia unaangalia.
Adsl inatumia nguzo za simu zile za zamani zenye waya za shaba angalia mtaani kwenu kama zimepita, installation fee ni 55,000.
Ama wapitie ofisini kwao.
Tatizo lao ni customer care yao utasaga viatu kuwafuata mpaka ukomeKutokana na mabando kuwa juu, niliamua kwenda maduka ya TTCL
Hii itanifaa zaidi kwani kuna jirani hapa about 100m karibu na ofisini kwangu anatumia TTCL adsl. Let me go for this
Dili na mtu wa survey, ukifika Customer care omba Contact ya mtu wa anaefanya survey, atakupa majibu mazuri zaidi lini wanapita mitaa yenu. Wengi ambao wapo ofisini si technicalTatizo lao ni customer care yao utasaga viatu kuwafuata mpaka ukome
Tulishalizungumzia humu, unless kuna ruzuku zinatolewa ngumu kwa hawa jamaa ku expand uswazi na maeneo mengine ambayo hayana potential customer wengi. TTCL pekee ndio ana Ubavu huo sababu ina Sugar Daddy.Aya makampuni ya home fiber yangekuja na alternative ya kufanya point to point ata tununue wenyewe device ila watupe package sawa na zile za watoazo katika home fiber basi wangetusaidia sana tulio nje ya coverage zone
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Ni kwel usemalo ila nachoisi kaama ghalama za installation ya radio waves itakua juu kulinganisha na walengwa tunao wazungumzia ,ila ngoja kesho nifanye wasiliana na TTCL kujua ghalama zaoTulishalizungumzia humu, unless kuna ruzuku zinatolewa ngumu kwa hawa jamaa ku expand uswazi na maeneo mengine ambayo hayana potential customer wengi. TTCL pekee ndio ana Ubavu huo sababu ina Sugar Daddy.
Potential ninayoiona mimi ni kwenye Wifi, ukipata eneo ambalo lipo juu kidogo unaweza Supply wifi mitaa kadhaa, ikawa fiber inAtumika tu kama backbone ila wifi ndio ina supply Majumbani.
Hawa hapa ndio nahitaji toka niende ofisini na kumcheki mtu uliyenipa namba zake ni kimyaYah mkuu Adsl 4mbps ni much better, hakikisha tu una kifaa kisichokula sana umeme kama laptop ama desktop vile vidogo ama simu usiotumia sana. Ukipanga downloads zako usiku around 10GB ukiamka zimeisha. Na matumizi ya kawaida youtube na Netflix ni HD na mpira pia unaangalia kwa 480p uhakika, sometime kama stream ipo stable 720p pia unaangalia.
Adsl inatumia nguzo za simu zile za zamani zenye waya za shaba angalia mtaani kwenu kama zimepita, installation fee ni 55,000.
Ama wapitie ofisini kwao.
Hii ni TTCL fiber home connect mwaka wa tatu natumia sijawahi jutia.Tumia online speedtest tutumie screenshot tukicheck actual speed yake..................tukifanya comparison na bei inaweza kuwa best option kwenda nayo
Downloading speed .....u can see urself,for home use its perfectHii ni TTCL fiber home connect mwaka wa tatu natumia sijawahi jutia.View attachment 2259630