TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

Kuna baadhi ya vifaa including Router inatakiwa kununua, washafanya survey kufikia jumatatu watakuwa wameshaniungia TTCL fiber.... Nlijaza form yao mwezi wa 6 mwanzoni, so imechukua kama miezi 2 kupata huduma...

Ntaleta feedback mchakato ukikamilika
 
Vifaa vinavyohitajika
1. ODF Module 1pc @
2. Wireless router 1pc @
3. SFP 1pc @
4. Media Converter 1pc @
5. Coupler 1pc @
6. LC pigtail 1pc
7. SC-LC patch cord 1pc @
8. FC-LC patch cord 2pcs @
9. Data cabinate 4U 1pc @

So far vifaa vyote hapo wanavyo except SFP na SC-LC patch cord na router. Data cabinet 4U pia unajinunulia... So gharama ya ziada sidhani kama itazidi 250000
 
Haya ni maeneo gani?
 
Walivyokuja Ku survey kwangu niliwauliza kama kuna vifaa vya kununua ili nijipange kifedha waliniambia niandae hela ya kulipia internet tu hamna gharama nyingine ambayo nitatakiwa kuchangia

Sent from my CPH2015 using JamiiForums mobile app
 
Huu ndo utaratibu hata me walinambia hivyo, Ila chenga zikaanza. Ndo wakaingiza hizo swaga za kununua router na SFP... Sina namna na huduma nahitaji, nikafungua pochi
 
Lakini ulifanikiwa kufungiwa?! Upo maeneo gani?!
 
nimewacheki hapa ttcl kwa namba yao wakanipa namba nikapiga wamesema kimara wapo hadi mlandizi wamefika mana pia wamechukua detail zangu wamesema watanipigia ili surveyor aje
namba yao ni hii kwa ttcl fiber 0733000060 ukipiga hii watakueleza kila kitu
Barikiwa saaana
 
Tatizo gharama. Ukifanya uchunguzu utagundua unatumia elf 3 nyingi sana ku keep up na LTE hio. Maana kama mtumiaji almost kila siku utajiunga ukicheki kwa siku 1O utakuwa ushamaliza 3OK sasa si bora uunge 55,OOO UNLIMITED
Hii 55k unlimited naifunga mwaka huu
 
Hii 55k unlimited naifunga mwaka huu
Tatizo hao jamaa hawako serious Mkuu,huwez amini nina karibu mwezi tangu nijaze fomu lakini hata surveyor sijamuona. Hapa nasubiri mpk December nikiona kimya navuta tu supakasi,ni gharama Sana lkn sio wababaishaji km Ttcl. Hili shirika inatakiwa lifumuliwe wafanyakazi wake wamelala sana
 
Kha! Kwan shida itakua wateja wengi sana ama wataalamu wachache? Yan kampuni kubwa wanafanya procrastination ya ajabu
 
The issue is hawako serious na wanachotaka fanya tatzo TZ hujuma nyng kla Kona shda ani
 
Back
Top Bottom