TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

Mbona Voda mimi siwaelewi. Kidude chenu nikikiweka peupe mtandao unazingua. Nikikificha ficha kwenye draw mtandao unashika vibaya mno.
IMG_2947.jpg

[mention]moft [/mention] mrekebishe minara yenu. Iache mambo ya zima taa.
[emoji2089]
 
Daaaah ko apa Kiko ndan ya drop ya kabati bro ndo unapata speed ya kufa mtu hvo
 
Mbona Voda mimi siwaelewi. Kidude chenu nikikiweka peupe mtandao unazingua. Nikikificha ficha kwenye draw mtandao unashika vibaya mno.
View attachment 2425088

[mention]moft [/mention] mrekebishe minara yenu. Iache mambo ya zima taa.
[emoji2089]

[emoji16][emoji16] router inataka joto asee!! Izingatie hapo hapo mkuu
 
Mbona Voda mimi siwaelewi. Kidude chenu nikikiweka peupe mtandao unazingua. Nikikificha ficha kwenye draw mtandao unashika vibaya mno.
View attachment 2425088

[mention]moft [/mention] mrekebishe minara yenu. Iache mambo ya zima taa.
[emoji2089]
uwe karibu na router, antenna pekee ndio inahusika na network, hio router inagawa tu,

unaweza iweka router sehemu ya wazi ila ukitumia net chumba cha nne huko kuna kuta zitaziba signal,
 
Mkuu, ninatumia zuku fiber 249k p/m, mpbs za kufa mtu, unlimited, kudondosha gb 100, 150 kwa siku easy kabisa.
Habari embu naomba uniambie hivi kuhusu zuku fiber malipo yake ni postpaid kama supakasi internet au??
 
Boss mwaka unakata ss na hujapata akat Voda wki tu unapata internet Yako with no stress
Mim nina swali kuhusu supakasi, je nikiunga ntaweza tumia nikiw eneo lolote la jengo la ofisi, juu na chini au ni ina enea eneo dogo tu kama chumba?
 
Kwa muda niliokaa na supa kasi, sijapata shida nayo.
Router yao inajitahidi kukaa na chaji Masaa 6

Sijaweza pima speed maana natumia sana kwa ajili ya TV pekee hivyo sijaweza pima.
Ila ubora wa video ni 1080/720 auto

Ikifika mwezi nitatoa majibu piaView attachment 2419789
Mkuu naomba mchakato wa gharama mkuu mpka umekamilisha na masharti yao
 
Sawa mkuuu nina swali kwakuwa wewe umeshajiunga nataka zile gharama za mwanzoni ni kiasi gani???
Hakuna gharama zaidi ya kulipia 230,000
Unapewa router

Kabla ya hapo watakuja kutembelea ili wafanye survey kama 5G inapatikana au lah, kama yapatikana watakupa 5G, kama haipatikani watakupa 4G

Unatakiwa kuwa na Kitambulisho cha NIDA ( sio namba ya nida bali kitambulisho)
Watakiwa kuwa na TIN Certificate
 
Back
Top Bottom