Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Voda mimi siwaelewi. Kidude chenu nikikiweka peupe mtandao unazingua. Nikikificha ficha kwenye draw mtandao unashika vibaya mno.
View attachment 2425088
[mention]moft [/mention] mrekebishe minara yenu. Iache mambo ya zima taa.
[emoji2089]
Mkuu, Ni supakasi unlimited?Mbona Voda mimi siwaelewi. Kidude chenu nikikiweka peupe mtandao unazingua. Nikikificha ficha kwenye draw mtandao unashika vibaya mno.
View attachment 2425088
[mention]moft [/mention] mrekebishe minara yenu. Iache mambo ya zima taa.
[emoji2089]
Mkuu, Ni supakasi unlimited?
[emoji16][emoji16] router inataka joto asee!! Izingatie hapo hapo mkuu
Karibu upate na ww broMkuu, Ni supakasi unlimited?
uwe karibu na router, antenna pekee ndio inahusika na network, hio router inagawa tu,Mbona Voda mimi siwaelewi. Kidude chenu nikikiweka peupe mtandao unazingua. Nikikificha ficha kwenye draw mtandao unashika vibaya mno.
View attachment 2425088
[mention]moft [/mention] mrekebishe minara yenu. Iache mambo ya zima taa.
[emoji2089]
Ulichukua speed ya bei gani kwa mwezi?Kaka nina wiki tu. Tayari nishatumia GB 157.
Asante. Soon nakucheki bestKaribu upate na ww bro
Habari embu naomba uniambie hivi kuhusu zuku fiber malipo yake ni postpaid kama supakasi internet au??Mkuu, ninatumia zuku fiber 249k p/m, mpbs za kufa mtu, unlimited, kudondosha gb 100, 150 kwa siku easy kabisa.
Ulichukua speed ya bei gani kwa mwezi?
Mim nina swali kuhusu supakasi, je nikiunga ntaweza tumia nikiw eneo lolote la jengo la ofisi, juu na chini au ni ina enea eneo dogo tu kama chumba?Boss mwaka unakata ss na hujapata akat Voda wki tu unapata internet Yako with no stress
Kawaida Mwisho ni mita kumiMim nina swali kuhusu supakasi, je nikiunga ntaweza tumia nikiw eneo lolote la jengo la ofisi, juu na chini au ni ina enea eneo dogo tu kama chumba?
Vizuri sanaKaka nina wiki tu. Tayari nishatumia GB 157.
Mkuu naomba mchakato wa gharama mkuu mpka umekamilisha na masharti yaoKwa muda niliokaa na supa kasi, sijapata shida nayo.
Router yao inajitahidi kukaa na chaji Masaa 6
Sijaweza pima speed maana natumia sana kwa ajili ya TV pekee hivyo sijaweza pima.
Ila ubora wa video ni 1080/720 auto
Ikifika mwezi nitatoa majibu piaView attachment 2419789
Sawa mkuuu nina swali kwakuwa wewe umeshajiunga nataka zile gharama za mwanzoni ni kiasi gani???
Hakuna gharama zaidi ya kulipia 230,000Sawa mkuuu nina swali kwakuwa wewe umeshajiunga nataka zile gharama za mwanzoni ni kiasi gani???