Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Mtoa huduma za internet/simu/TV kutumia waya za Fiber, ni kama kina voda na TTCL sema tu wao hawatumii minara ya simu wanatumia waya kukuletea hio huduma.Zuku nao ni mtandao wa simu au sijaelewa somo?
Mkuu tupe huo muongozo wa kubadilisha password ya router ya TTCL itakua msaada mkubwa sana kwa wadau humu ndani maana ni tatizo hakuna anayejua na hata ukiwafata wanataka uwape customer namba ya router wakufanyie wenyewe kwa kweli utakua umesaidia sana kwa hilo.shukranisema wewe ndio ujui kubadiri password ya router ya ttcl , ulitakiwa kuja kuuliza nmna ya kubadiri password ya router ya TTCL na sio ulichokuja kusema
Jaribu superuser kote user Na password.Mkuu tupe huo muongozo wa kubadilisha password ya router ya TTCL itakua msaada mkubwa sana kwa wadau humu ndani maana ni tatizo hakuna anayejua na hata ukiwafata wanataka uwape customer namba ya router wakufanyie wenyewe kwa kweli utakua umesaidia sana kwa hilo.shukrani
TTCL washamba tu. Jaribu user user au admin admin..kama hawakubadili itakubali.Yes ila mpaka uwe na access sasa ya kuingia kwenye setting ili uwaunge kwa Mac address Access awakup jamaa
Chief-Mkwawa Kuna mikoa naona uhitaji wa wateja wa wi-fi, ila huduma mbovu hivi hawa hawakubali franchising?.Jaribu superuser kote user Na password.
Wanakubali, Tanga hapa kuna Fiber ya Bahoza, source ya Fiber ni Tigo, ukifuata utaratibu unaweza kuwa Mvno wa kampuni nyengine, sema si uwekezaji wa kitoto.Chief-Mkwawa Kuna mikoa naona uhitaji wa wateja wa wi-fi, ila huduma mbovu hivi hawa hawakubali franchising?.
Yaani una ingia nao ubia wa kusambaza vifaa na huduma, Kisha mna katiana percentage?.
Kiranga una fahamu kuhusu hili?.
Iwe voda, ttcl.
Ohh ina pendeza, maana naona Kuna maeneo huduma ina hitajika Sana.Wanakubali, Tanga hapa kuna Fiber ya Bahoza, source ya Fiber ni Tigo, ukifuata utaratibu unaweza kuwa Mvno wa kampuni nyengine, sema si uwekezaji wa kitoto.
Kuna fewtures ya wewe kutengeneza Guest WIFI - ambayo utakaempa password yake atakuwa anapata internet tu na atakuwa na acess ya router yakoTTCL Fiber mlangoni kinachoboa ni kwamba ukimuunga mtu atumie Wi-Fi yako basi yeye moja kwa moja anakua na access ya router yako anaweza unganisha mwengine kwa ku-share QR Code au ku-access Password kabsaa hii kitu ina boa sanaa.
Na hawa jamaa hawakupi access ya router labda hubadili Password hawakupi Ukitaka ku change Password hadi uwa tafute wao ndo waje wa change na unaweza wasubir miezi ndo waje wa change.
Hili linakera sanaa aisee kwanin hawati access hata ya kuchange Password basi waweke security ya mtu kuto share password na QR Code ukisha mjoin.
Siwezi jua mkuu gharama, ila inaweza fika mabilioni ya hela, Sio project ya kitoto.Ohh ina pendeza, maana naona Kuna maeneo huduma ina hitajika Sana.
ila hao watoa huduma wako bize maofisini.
mfano minimum yaweza kuwa ngapi?
Hapo kweli pazito kwa Sasa!Siwezi jua mkuu gharama, ila inaweza fika mabilioni ya hela, Sio project ya kitoto.
Kabisa sisi watanzania ni Kitu kimoja au ndugu yetu wewe hujumuiki kwenye vikao vyetuAcha kututosa we ndugu yetu Wacha tutumie,tutakumbuka kwa wema wako!