TTCL fanyeni calculation zenu zote mnazozijua ni kwa namna Gani mtataka mliokoe shirika lakini cha muhimu mjue wateja wa sikuhizi hawataki usumbufu wakati washaisaka pesa kwa shida. Yaan nkitaka vocha ni mpk niende mtaa wa pili wakati vocha za tigo, voda, Airtel ziko dukani kwa jirani yangu. Au nkitaka vocha niweke tigopesa kwanza then nijirushie t..pesa ndio ninunue vocha. Hata kama ni uzalendo Mimi ulinishinda. Lazma mje na mpango mkakati mkubwa wakuweza kupata wateja wa ttcl kwa muda mfupi ili wafanyabiashara wahamasike kuuza vocha zenu na kutoa huduma ya t ...pesa.