park don
JF-Expert Member
- Dec 2, 2017
- 4,923
- 7,048
TTCL Customer Care njooni huku mchukue ushauri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujaelewa pointi yangu...Hata hiyo voice ni internet tu mkuu
Kinachofanyika ni kubadirisha mb kuwa dak au kuwa sms
wanatokaje wakati wanaacha urithi watoto wao kuendeleza dynastWakitaka TTCL ifanye kazi kwa faida wawasubiri wale wazee woote wastaafu watoke kwenye mfumo.
Wale wazee ni tangu enzi za ttcl sim za mezani za kunyonga, unatarajia leo watakua na ubunifu gan? wote wapo nyuma ya teknolojia. Watoto wao nao watakua mafala wakiamua kutaka kuingia kwene shirika lililo elekea kibla.wanatokaje wakati wanaacha urithi watoto wao kuendeleza dynast
Anachanya currency ili tusione hayo matrilion yanayohitajika?Silaa amesema ili TTCl iweze kufanya uwekezaji mkubwa linatakiwa kuwa na mtaji wa Dola za Kimarekani milioni 752 lakini hadi sasa shirika hilo lina mtaji wa Sh370.465 bilioni tu.