Vichekesho vya awamu ya sitaTTCL inatoa huduma za simu za mezani. Simu ambazo hufungwa majumbani na maofisini. Madeni hayo ni madeni ya siku nyingi wakati wa enzi zile hakuna simu za mkononi wala teknolojia haijaendelea kama sasa. Kwaiyo wateja hao wengi wamefunga biashara na wamehama kwenye makazi yao na wengine wamefariki. Kiufupi ni madeni ambayo huwezi ku trace mdaiwa. Sasa huwezi kuyaondoa tu kwenye vitabu vya mahesabu, kuna taratibu zake ndio maana madeni yanasomeka mpaka leo.
Wazalendo tujitolee kudaiwa ili serikali isipoteze mapato.Hawa watu sijui ni wanamdharau mama au ni nini hiki?
Yani inawezekanaje usimjue mdeni wako?
TTCL inatoa huduma za simu za mezani. Simu ambazo hufungwa majumbani na maofisini. Madeni hayo ni madeni ya siku nyingi wakati wa enzi zile hakuna simu za mkononi wala teknolojia haijaendelea kama sasa. Kwaiyo wateja hao wengi wamefunga biashara na wamehama kwenye makazi yao na wengine wamefariki. Kiufupi ni madeni ambayo huwezi ku trace mdaiwa. Sasa huwezi kuyaondoa tu kwenye vitabu vya mahesabu, kuna taratibu zake ndio maana madeni yanasomeka mpaka leo.
Wahamasishe na jirani zako, Mungu atatulipa.Eti eee?
Lugha iliyotumika ni ya kikubwa kwani huwezi kumwambia aliyekuteua kuwa unamdai hivyo unamuachia ajiseme mwenyewe.Hapana, you can keep track za unayemdai kupitia records za huduma. Hizo sababu ulizotaja ni minority tu. Kuna uzembe mahali
Hilo shirika for past 15 years limekuwa likitoa huduma mbovu but no body was paying attention
Hili shirika halijawahi kuajiri 'financial analyst' ?.Hawa watu sijui ni wanamdharau mama au ni nini hiki?
Yani inawezekanaje usimjue mdeni wako?
--
Ukaguzi wa CAG umebaini TTCL ina madeni makubwa ya TZS bilioni 21, lakini uongozi haukuweza kutambua wadaiwa husika. Shirika hilo limetoa pendekezo kwa bodi kufuta deni la bilioni 7.51.
Lugha iliyotumika ni ya kikubwa kwani huwezi kumwambia aliyekuteua kuwa unamdai hivyo unamuachia ajiseme mwenyewe.
Shii! Sema kwa sauti ndogo basi, watatusikia.No kuoneana aibu. Is why tuna fail kuogapana kuambiana ukweli.
Hi ndo raha ya mama Tanzania,halafu kuna watu wanakuambia hapa hakuna dili tunaenda oman kutafuta kaziHawa watu sijui ni wanamdharau mama au ni nini hiki?
Yani inawezekanaje usimjue mdeni wako?
--
Ukaguzi wa CAG umebaini TTCL ina madeni makubwa ya TZS bilioni 21, lakini uongozi haukuweza kutambua wadaiwa husika. Shirika hilo limetoa pendekezo kwa bodi kufuta deni la bilioni 7.51.