TTCL inadai Tsh Bilioni 21 ila haijui inayemdai

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Hawa watu sijui ni wanamdharau mama au ni nini hiki?
Yani inawezekanaje usimjue mdeni wako?

--
Ukaguzi wa CAG umebaini TTCL ina madeni makubwa ya TZS bilioni 21, lakini uongozi haukuweza kutambua wadaiwa husika. Shirika hilo limetoa pendekezo kwa bodi kufuta deni la bilioni 7.51.

Screenshot_20230406-132045_Facebook.jpg
 
TTCL inatoa huduma za simu za mezani. Simu ambazo hufungwa majumbani na maofisini. Madeni hayo ni madeni ya siku nyingi wakati wa enzi zile hakuna simu za mkononi wala teknolojia haijaendelea kama sasa. Kwaiyo wateja hao wengi wamefunga biashara na wamehama kwenye makazi yao na wengine wamefariki. Kiufupi ni madeni ambayo huwezi ku trace mdaiwa. Sasa huwezi kuyaondoa tu kwenye vitabu vya mahesabu, kuna taratibu zake ndio maana madeni yanasomeka mpaka leo.
 
Vichekesho vya awamu ya sita
 
Hapana, you can keep track za unayemdai kupitia records za huduma. Hizo sababu ulizotaja ni minority tu. Kuna uzembe mahali

Hilo shirika for past 15 years limekuwa likitoa huduma mbovu but no body was paying attention
 
Lugha iliyotumika ni ya kikubwa kwani huwezi kumwambia aliyekuteua kuwa unamdai hivyo unamuachia ajiseme mwenyewe.
 
Hawa watu sijui ni wanamdharau mama au ni nini hiki?
Yani inawezekanaje usimjue mdeni wako?

--
Ukaguzi wa CAG umebaini TTCL ina madeni makubwa ya TZS bilioni 21, lakini uongozi haukuweza kutambua wadaiwa husika. Shirika hilo limetoa pendekezo kwa bodi kufuta deni la bilioni 7.51.

Hili shirika halijawahi kuajiri 'financial analyst' ?.
 
Watawala wakitupia suti expensive, wananawiri na kupendeza ndani ya LC 300.
 
Hawa watu sijui ni wanamdharau mama au ni nini hiki?
Yani inawezekanaje usimjue mdeni wako?

--
Ukaguzi wa CAG umebaini TTCL ina madeni makubwa ya TZS bilioni 21, lakini uongozi haukuweza kutambua wadaiwa husika. Shirika hilo limetoa pendekezo kwa bodi kufuta deni la bilioni 7.51.

Hi ndo raha ya mama Tanzania,halafu kuna watu wanakuambia hapa hakuna dili tunaenda oman kutafuta kazi
 
Back
Top Bottom