TTCL inadai Tsh Bilioni 21 ila haijui inayemdai

Hii kali
Kwa hiyo hizo simu za nyumbani hata majina hayakuwepo hata kwenye register tu manually daftari la stationery Ili Wayatoe vyombo vya habari kama wako hai au walikufa wapatikane

Kwa hiyo hadi madaftari walipoteza
 
Utakuwa TTCL wewe jamaa. Haya peleka majibu kwa Kichere. Utetezi wa kipuuzi huu ndio maana hata odita akakupuuza
 
Kwani enzi zile walitoa gawio la pesa ngapi? huenda ndo mzigo wanaoutafuta.
 
Hapana, you can keep track za unayemdai kupitia records za huduma. Hizo sababu ulizotaja ni minority tu. Kuna uzembe mahali

Hilo shirika for past 15 years limekuwa likitoa huduma mbovu but no body was paying attention
Ukiwa umekaa nyuma ya keyboard ni rahisi kuongea utumbo kama huu. Hata mashirika binafsi na hata mabenki yanakopesha Watu na baadae wanashindwa ku trace wadaiwa. Ni vile wao hawatangazi tu kwa sababu za kibiashara. Hata mitandao mingine ina post paid customers ambao baadae hawawi traced. Ni vile mmekariri kukosoa tu hamjui ugumu wa kazi field. Utamtrace mtu aliyekuwa anatumia P.O Box 4 Nzega mwaka 1980? Hilo box sasa hivi anatumia huyo huyo mtu? Kwanza yupo hai? Bado anaishi Nzega? Shirikisha brain kaka
 
Tawala ya CCM hakyanan ishafitinika, na haiwez ifikisha Nchi yetu popote kwa style hii!!
 
Hii kali
Kwa hiyo hizo simu za nyumbani hata majina hayakuwepo hata kwenye register tu manually daftari la stationery Ili Wayatoe vyombo vya habari kama wako hai au walikufa wapatikane

Kwa hiyo hadi madaftari walipoteza
Kubali kuwa management ya TTCL ya sasa na hata iliyopita na iliyopita ilikuta ripoti kama hii. Madeni haya ni tangu serikali ya Mwinyi kurudi mpaka kwa Nyerere. Wakati wa Mkapa wakaanza kutumia System na kuhama kutoka manual work . Kuna several system migration zimefanyika zikashindwa kucapture baadhi ya records . Hakuna kiongozi wa TTCL wa sasa wala aliyepita wala aliyepita zaidi aliyesababisha hii loss. Besides viongozi wamepambana kuhakikisha madeni yamekuwanywa lakini imekuwa ngumu mno.
 
Hahaaa hii nchi mbona safari bado ndefu. Ukiwakuta hao wanaosimamia hizo taasisi wamechomekea,tai kwasana na vijitambi vyao wengine. Halafu unaambiwa habari kama hii. Huwezi amini
 
Hahaaa hii nchi mbona safari bado ndefu. Ukiwakuta hao wanaosimamia hizo taasisi wamechomekea,tai kwasana na vijitambi vyao wengine. Halafu unaambiwa habari kama hii. Huwezi amini
We amin tu mbona tumeamini mgao wa umeme unatokana na maji kujaa kwenye Bwawa
 
Halafu utakuta hiyo TTCL bado Ina CEO anatembelea V8. Nchi ya kijinga sana hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…