YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Hii kaliTTCL inatoa huduma za simu za mezani. Simu ambazo hufungwa majumbani na maofisini. Madeni hayo ni madeni ya siku nyingi wakati wa enzi zile hakuna simu za mkononi wala teknolojia haijaendelea kama sasa. Kwaiyo wateja hao wengi wamefunga biashara na wamehama kwenye makazi yao na wengine wamefariki. Kiufupi ni madeni ambayo huwezi ku trace mdaiwa. Sasa huwezi kuyaondoa tu kwenye vitabu vya mahesabu, kuna taratibu zake ndio maana madeni yanasomeka mpaka leo.
Kwa hiyo hizo simu za nyumbani hata majina hayakuwepo hata kwenye register tu manually daftari la stationery Ili Wayatoe vyombo vya habari kama wako hai au walikufa wapatikane
Kwa hiyo hadi madaftari walipoteza