TTCL inaendeshwa kisiasa au kitaalamu? Kwanini wanazima intaneti Jumapili mpaka Jumatatu?

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,155
Reaction score
2,704
Haya mashirika inatakiwa yaendeshwe na mtu mwenye taaluma hata ya Utawala upande wa IT na sio mwana siasa. Sasa TTCL kwanini nyie kila Jpili mnazima Internet mpaka Jtatu mchana ?

Hii huduma raia na walipa kodi wanalipia hamkupaswa kuzima au kupangia mtu atumieje maana ni pesa zake mwenyewe anatoa. Hili la kua mnazima internet kila Jumapili haijakaa sawa kabisa
 
Tatizo ni uongozi, kama wangekuwa na uongozi mzuri wangetawala soko a internet
 
Haya mashirika inatakiwa yaendeshwe na mtu mwenye taaluma hata ya Utawala upande wa IT na sio mwana siasa. Sasa TTCL kwanini nyie kila Jpili mnazima Internet mpaka Jtatu mchana ? Hii huduma raia na walipa kodi wanalipia hamkupaswa kuzima au kupangia mtu atumieje maana ni pesa zake mwenyewe anatoa. Hili la kua mnazima internet kila Jumapili haijakaa sawa kabisa
Tena hapo umelikuta lina nafuu, tokea mwanzoni likikuwa linaendeshwa kisiasa until jpm alipokuja. Mfano mkurugenzi aliepita ameliinua sana shirika ila alipoondolewa hapo utawala huu matatizo yakarudi tena
 
Haya mashirika inatakiwa yaendeshwe na mtu mwenye taaluma hata ya Utawala upande wa IT na sio mwana siasa. Sasa TTCL kwanini nyie kila Jpili mnazima Internet mpaka Jtatu mchana ? Hii huduma raia na walipa kodi wanalipia hamkupaswa kuzima au kupangia mtu atumieje maana ni pesa zake mwenyewe anatoa. Hili la kua mnazima internet kila Jumapili haijakaa sawa kabisa
Hivi TTCL bado ipo?
 
Unajua nchi hii Haina TISS.. (yaani usalama wa Taifa)
TTCL ilitakiwa iwe na faida kubwa sana hasa kwenye internet... kwa kuwauzia wananchi huduma nzuri na ya kasi sana....
Kuna taasisi nyingi za binafsi zinahitaji huduma lakini kamwee hawazubutu TTCL

Shida ipo Moja tuu....
Uliteuliwa Mkurugenzi, na wasaidizi wa juu wa TTCL ...Tena wengine wasomi na wajuzi ....wanakubali kutulizwa na private companies...na hapa ndio tatizo kuu

Yaani kampuni za kizungu...zinawekeza na kusambaza internet hawawezi kukubali TTCL iwe juu...na hapo tungekuwa na mfumo mzuri wa usalama....Wakurugenzi wangebanwa kwa KUHAKIKISHA TTCL inasimama..
 
Tuache kulaumu wazungu,kwani ukikataa kutulizwa na hao wazungu watakupiga bastola? Yaani mtu akubali kuhujumu taasisi yake kwa hiari yake halafu tulaumu washindani wake? Huo ni upumbavu na hakuna sababu yoyote ya kuuhalalisha.
 
Kama wanafungia mitandao ,halafu nao wanaingia muda huo kwa VPN , wataonaje shida kufanya digital blackout .?

Hebu angalia hapa top ya nchi ambazo ziko serious kwenye digital space na hata ukiangalia mapato kutokana na kazi za mtandao kwa nchi hizo yako juu.

Leo hii watangayanyika wamelazimishwa kutumia VPN kwenye mtandao kama X ambayo inawanyima mapato vijana waliojiajiri kupitia premium subscription ana account zao kuwa set na monetization kwani VPN inahamisha geolocation ya maudhui hivyo kuwanyima fursa kutengeza pesa.

Hata hapo Kenya wametuzidi mbali sana kuanzia idadi ya watoa huduma, kasi na gharama za internet.

Tunalinda maslaahi ya Chama kwanza punguza gubu
 
Back
Top Bottom