Katono Mruma
Senior Member
- Apr 13, 2018
- 131
- 84
Kwenye kazi za Umma, hakuna neno kupendwa au kutopendwa. Ni Sheria na taratibu.Ila kweli nape hapendwi...yaani hata kumfariji mnapinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye kazi za Umma, hakuna neno kupendwa au kutopendwa. Ni Sheria na taratibu.Ila kweli nape hapendwi...yaani hata kumfariji mnapinga
Sio woga. Ni kwamba si kazi yako. Mamlaka zinatengua, ni jambo lisilo la kushangilia, unapongeza aliyetenguliwa.......unampongeza kwa sababu gani? Kwa achievement ipi?Huu ni kama woga hivi
Mtoto wa Baba wa kambo ukisikia Wapi akapendwa? Ukijifanya unampenda na Wewe unashushiwa runguIla kweli nape hapendwi...yaani hata kumfariji mnapinga
Yeah yaan aliemtengua amefanya makosa Ila bado TCRA na PDPC mboni wamepongeza sijaona Jabiri wala yule boss wa PDPC wakipigwa chini, huu upendeleo ndio nini mboni wengine TTCL, Posta na hao wengine wamekula mweleka why TCRA na PDPC wameachwa na wamepongeza mtu alietenguliwa? Kwako Chura .kiziwi hii imekuaje hii nasikia harufu ya upendeleo hapo Watoto wote wamekosea adhabu kwa wote Chura kawachapa watatu wawili kawaachia what is this?Sio woga. Ni kwamba si kazi yako. Mamlaka zinatengua, ni jambo lisilo la kushangilia, unapongeza aliyetenguliwa.......unampongeza kwa sababu gani? Kwa achievement ipi?
Sio woteWaliopongezaa wotee nao Wamepongezwa na Mama Samiaaa🤣🤣🤣🤣
Waangalie walivyo na tofauti Yao na akina maharageYeah yaan aliemtengua amefanya makosa Ila bado TCRA na PDPC mboni wamepongeza sijaona Jabiri wala yule boss wa PDPC wakipigwa chini, huu upendeleo ndio nini mboni wengine TTCL, Posta na hao wengine wamekula mweleka why TCRA na PDPC wameachwa na wamepongeza mtu alietenguliwa? Kwako Chura .kiziwi hii imekuaje hii nasikia harufu ya upendeleo hapo Watoto wote wamekosea adhabu kwa wote Chura kawachapa watatu wawili kawaachia what is this?
No, Wote inabidi wachezee mboko haiwezekani uwaadhibu Hawa alafu Hawa uwaache huo ni upendeleo wa Wazi, twende kwenye VAR Wote wamempongeza kwanini Wote wasipewe Red Card?Waangalie walivyo na tofauti Yao na akina maharage
Boss katemwa nini? Mbona leo mkali hivyo?Haya sio maono. Hizi ni roho mbaya za kichawi na tunaonekana waafrika bado hatujavuka stage ya kuwa nyani
Hakika. Mama msikivu.Mkuu uko deep. Nimependa maono yako ambayo yamefanyiwa kazi
TRCRA kwa mkwee ameponaa ila itakuwa kapewa onyoo kalii mnoooSio wote