Pre GE2025 TTCL, TCRA, Posta, UCSAF na PDPC watoa ujumbe wa kwaheri kwa Nape baada ya kutenguliwa

Pre GE2025 TTCL, TCRA, Posta, UCSAF na PDPC watoa ujumbe wa kwaheri kwa Nape baada ya kutenguliwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Na mm napendekeza bodi yote, mkurugenzi mkuu wango'ke haraka saana. Ni utovu wa nizamu kujadili maamzi ya ikulu hasa kama anatengua teuzi.
You're right! Maamuzi ya mamlaka kuu ya nchi hayajadiliwi, kuhojiwa, au kuzungumzwa kwa namna yoyote kwa dhana au mwelekeo ulio kinyume na context ya mamlaka hiyo tena na vyombo vilivyo chini yake!

Ni public pekee ndio wanaweza kujadili kwa mtazamo hasi! Otherwise, ni "ufalme uliofitinika" na hakuna mamlaka yoyote itakubali hilo litokee.
 
Kelele zetu kuhusu wastaafu na mapunjo ya mafao zenyewe aaah
 
Si ajabu ni Nape mwenyewe kashinikiza apewe hizo pongezi kwa manufaa yake mwenyewe.
 
Back
Top Bottom