Tu-enjoy kidogo wakuu

Tu-enjoy kidogo wakuu

Wako vizuri huyo mwenye panki ni balaa.

Sema sasa unakuta rika hilo akijiweka sana kwenye hayo mambo si ajabu hata shule asitake tena.
 
Wako vizuri huyo mwenye panki ni balaa.

Sema sasa unakuta rika hilo akijiweka sana kwenye hayo mambo si ajabu hata shule asitake tena.
Hapo kwenye shule nadhani ni kazi ya wazazi au walezi kusimamia suala zima. Yote kwa yote wanajua kudance
 
Hapo kwenye shule nadhani ni kazi ya wazazi au walezi kusimamia suala zima. Yote kwa yote wanajua kudance
Ni Yatima hao wapo uganda na kuna muda walikuwa chini ya msanii Eddy Kenzo, Hiyo ni kama ajira kwao. Kuhusu shule sifahamu.
 
Back
Top Bottom