Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawez kupata kivipi jee ww ni mpiga kuraNdio na hawez kupata.shafi ana fitna nyingi sana kwenye soka.tatz anaamin yeye ndo anajua kuliko wote na haheshimu mawazo ya wengine
1000000000% dauda ndio injinia wa njia ya tembele kuelekea TFF[/QUOTE
hawezi kivipi unipe sababu za kutoweza kupata, wagombea wangap hugombea mara 2 hadi Mara 3 ndo wanashindaHawez pata mana juhudi za kuingia tff hajaanza Leo na Mara zote anagonga mwamba ndio maana safar hii yupo nyuma ya kivuli cha ali
kwani Ali yupo clouds?Cjakuelewa vizur mkuu.maestro hayupo tena clouds
Yap walinyimwa dhamanaIna maana wako mahabusu hadi saivi[emoji15]
m mgombea gani bongo hii hana conspiracyDauda shida yake kubwa ni conspiracy ndo mana hawezi
SawaWadau wa soka wapo wengi mkuu