NAKEMBETWA
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 3,517
- 3,135
Hivi Frank wanjiru na Pdidy wako wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka jamali malinzi ndio kashapotea kwenye soka Kwa namna tuliyoiona wote.swala LA msingi mbele yetu sasa ni kuhusu nani anafaa.katika wagombea waliobakia nani MTU sahihi anaefaa kuwa rais wa tff miongoni mwa wagombea waliobakia.hofu kuu iliyotanda ni usimba na uyanga miongoni mwa wagombea.binafsi yangu Mimi ally mayai tembele hatufai na sababu yangu ni kuwa ni pandikizi LA kikundi flani hivi ambacho sijui wanataka nini pale tff.pili mwakalebela hatufai mana huyu ni mwanasiasa huku anakuja kupoteza mda tu akisubiri 2020 arudi kwenye siasa.nn maoni yako mdau??tuchangie bila jazba