Tuachane na filamu ya Malinzi na Mwesigwa wake

Hawez pata mana juhudi za kuingia tff hajaanza Leo na Mara zote anagonga mwamba ndio maana safar hii yupo nyuma ya kivuli cha ali
hawezi kivipi unipe sababu za kutoweza kupata, wagombea wangap hugombea mara 2 hadi Mara 3 ndo wanashinda
 
m mgombea gani bongo hii hana conspiracy
Mkuu nakuelewa sana ila naamini kwenye urais hawajajitokeza wadau halisi wenye uelewa na uchungu na hili soka.may be tungekuwa na wagombea watano wenye nguvu sawa na ally uchaguz ungekuwa safi sana
 
Kwa mpira wa Tanzania usio na tija inabidi wampe uenyekiti rais Magufuli tu awashikishe adabu watu na kuleta sheria za kiukweli. Hawa wapuuzi waliobaki kina Mayai sijuwi nani, wale ni sawa na malinzi tu, hawana lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…