Babumawe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 2,556
- 2,571
Tuachane na majina ya id na tuachane na majina binafsi tuliyopewa na wazazi leo tutaje A.K.A zetu au "also known as" tunazotumia mtaani, yawezekana ni mtaani au nyumbani kwenu au hata sehemu nyingine unafahamika kwa jina hilo.
Mimi naanza AKA yangu ni killer yaani kipindi nakua hadi kufikia kaumri fulani hivi kitaani ilikuwa ukiniulizia kwa jina langu hunipati ila ukisema tu killer basi utapelekwa hadi nyumbani
Mimi naanza AKA yangu ni killer yaani kipindi nakua hadi kufikia kaumri fulani hivi kitaani ilikuwa ukiniulizia kwa jina langu hunipati ila ukisema tu killer basi utapelekwa hadi nyumbani