Tuachane na id pamoja na majina binafsi tutaje a.k.a zetu

Tuachane na id pamoja na majina binafsi tutaje a.k.a zetu

Babumawe

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
2,556
Reaction score
2,571
Tuachane na majina ya id na tuachane na majina binafsi tuliyopewa na wazazi leo tutaje A.K.A zetu au "also known as" tunazotumia mtaani, yawezekana ni mtaani au nyumbani kwenu au hata sehemu nyingine unafahamika kwa jina hilo.

Mimi naanza AKA yangu ni killer yaani kipindi nakua hadi kufikia kaumri fulani hivi kitaani ilikuwa ukiniulizia kwa jina langu hunipati ila ukisema tu killer basi utapelekwa hadi nyumbani
 
Aka yangu ni jiwe juu ya jiwe😂😂😂 ....baada ya mwanajf mmoja kutoa hii nmependa niitwe hivo

Nmekusahau mkuu uliyesema hii quote ila respect sana😂😁😂
 
Aka yangu ni jiwe juu ya jiwe[emoji23][emoji23][emoji23] ....baada ya mwanajf mmoja kutoa hii nmependa niitwe hivo

Nmekusahau mkuu uliyesema hii quote ila respect sana[emoji23][emoji16][emoji23]
hahahh Ni Mimi i think
Ngojaa niisake kama ntaipata nikuoneshe hapa [emoji3][emoji3][emoji28]
 
TISS mnahangaika sana kuchomoa watu hapa lakini hata akili ya kuiba kura hamna.Mliiba kura zikadakwa na vibaka!
 
hahahh Ni Mimi i think
Ngojaa niisake kama ntaipata nikuoneshe hapa [emoji3][emoji3][emoji28]
Heri ya xmass bwana mkubwa ....😂😂
Uwe na mwaka wa mafanikio mno
Ile comment mpaka leo
Mpaka leo😂😂😂
Nikikaa nacheka sana dah yanii mzee kila ntapokua nacheka mungu ashushe baraka kwako maana ile comment ulitumika ubunifu mkubwa😂😂😂

"Jiwe juu ya jiwe"😂😂😂😂
 
Heri ya xmass bwana mkubwa ....[emoji23][emoji23]
Uwe na mwaka wa mafanikio mno
Ile comment mpaka leo
Mpaka leo[emoji23][emoji23][emoji23]
Nikikaa nacheka sana dah yanii mzee kila ntapokua nacheka mungu ashushe baraka kwako maana ile comment ulitumika ubunifu mkubwa[emoji23][emoji23][emoji23]

"Jiwe juu ya jiwe"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahh hatari [emoji3][emoji3]
Ni Kwenye ule Uzi Mkuu kapiga picha ikulu Chamwino kavaa raba na tshirt ya blue
 
Hizi id tunazotumia ndiyo aka zenyewe kwa hiyo wewe utakuwa nazo 2 killer na babu mawe
 
Tuachane na majina ya id na tuachane na majina binafsi tuliyopewa na wazazi leo tutaje A.K.A zetu au "also known as" tunazotumia mtaani, yawezekana ni mtaani au nyumbani kwenu au hata sehemu nyingine unafahamika kwa jina hilo
Mimi naanza AKA yangu ni killer yaani kipindi nakua hadi kufikia kaumri fulani hivi kitaani ilikuwa ukiniulizia kwa jina langu hunipati ila ukisema tu killer basi utapelekwa hadi nyumbani
Ndo maana mademu wanakudhulumu wewe
 
Heri ya xmass bwana mkubwa ....[emoji23][emoji23]
Uwe na mwaka wa mafanikio mno
Ile comment mpaka leo
Mpaka leo[emoji23][emoji23][emoji23]
Nikikaa nacheka sana dah yanii mzee kila ntapokua nacheka mungu ashushe baraka kwako maana ile comment ulitumika ubunifu mkubwa[emoji23][emoji23][emoji23]

"Jiwe juu ya jiwe"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Rais John Magufuli akitembelea maeneo yenye mawe ndani ya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma

Thread hio apo
Naona wamefuta lakini Comments kama hizo "Jiwe juu ya Jiwe " zilikua top top
 
A.k.A mimi

Huu uzi umenikumbusha ule wimbo wa A.K.A sijui umeimbwa na nan
 
Tuachane na majina ya id na tuachane na majina binafsi tuliyopewa na wazazi leo tutaje A.K.A zetu au "also known as" tunazotumia mtaani, yawezekana ni mtaani au nyumbani kwenu au hata sehemu nyingine unafahamika kwa jina hilo
Mimi naanza AKA yangu ni killer yaani kipindi nakua hadi kufikia kaumri fulani hivi kitaani ilikuwa ukiniulizia kwa jina langu hunipati ila ukisema tu killer basi utapelekwa hadi nyumbani
Misseverything94
 
Back
Top Bottom