hahahh Ni Mimi i thinkAka yangu ni jiwe juu ya jiwe[emoji23][emoji23][emoji23] ....baada ya mwanajf mmoja kutoa hii nmependa niitwe hivo
Nmekusahau mkuu uliyesema hii quote ila respect sana[emoji23][emoji16][emoji23]
Heri ya xmass bwana mkubwa ....😂😂hahahh Ni Mimi i think
Ngojaa niisake kama ntaipata nikuoneshe hapa [emoji3][emoji3][emoji28]
Hahahahh hatari [emoji3][emoji3]Heri ya xmass bwana mkubwa ....[emoji23][emoji23]
Uwe na mwaka wa mafanikio mno
Ile comment mpaka leo
Mpaka leo[emoji23][emoji23][emoji23]
Nikikaa nacheka sana dah yanii mzee kila ntapokua nacheka mungu ashushe baraka kwako maana ile comment ulitumika ubunifu mkubwa[emoji23][emoji23][emoji23]
"Jiwe juu ya jiwe"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo maana mademu wanakudhulumu weweTuachane na majina ya id na tuachane na majina binafsi tuliyopewa na wazazi leo tutaje A.K.A zetu au "also known as" tunazotumia mtaani, yawezekana ni mtaani au nyumbani kwenu au hata sehemu nyingine unafahamika kwa jina hilo
Mimi naanza AKA yangu ni killer yaani kipindi nakua hadi kufikia kaumri fulani hivi kitaani ilikuwa ukiniulizia kwa jina langu hunipati ila ukisema tu killer basi utapelekwa hadi nyumbani
Ndio😂Hahahahh hatari [emoji3][emoji3]
Ni Kwenye ule Uzi Mkuu kapiga picha ikulu Chamwino kavaa raba na tshirt ya blue
Heri ya xmass bwana mkubwa ....[emoji23][emoji23]
Uwe na mwaka wa mafanikio mno
Ile comment mpaka leo
Mpaka leo[emoji23][emoji23][emoji23]
Nikikaa nacheka sana dah yanii mzee kila ntapokua nacheka mungu ashushe baraka kwako maana ile comment ulitumika ubunifu mkubwa[emoji23][emoji23][emoji23]
"Jiwe juu ya jiwe"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Misseverything94Tuachane na majina ya id na tuachane na majina binafsi tuliyopewa na wazazi leo tutaje A.K.A zetu au "also known as" tunazotumia mtaani, yawezekana ni mtaani au nyumbani kwenu au hata sehemu nyingine unafahamika kwa jina hilo
Mimi naanza AKA yangu ni killer yaani kipindi nakua hadi kufikia kaumri fulani hivi kitaani ilikuwa ukiniulizia kwa jina langu hunipati ila ukisema tu killer basi utapelekwa hadi nyumbani