jitie kidole ukanawe.Anakufaa wewe na ukoo wenu wa panya
Tazama na ili jinga nalo, uyo jpm inaonyesha aliwashika masaburi yenu.Chalamila yupo vizuri sana. Ninachompenda ni pale anapokuwa na style ya uongozi kama ya JPM.
Mungu amsaidie zaidi ndugu yangu, ALBERT CHALAMILA.
Chalamila alifaa kuwa waziri, au naibu waziri wa elimu.
Akili yako ni finyu sana Kama haiwezi kuona mgongano wa masilahi kwenye suala la mgogoro wa wenye daladala dhidi ya wenye bajajKuwa na Bajaj ni kosa? KWANZA RC anatakiwa kuwa na Kiwanda sio Bajaj.
Viongozi=Thinkers+Strategists+Planners waliisha Na kuzeeka.Hii nchi kichaa yoyote anaweza kuwa kiongozi