Tuache chuki binafsi, RC Chalamila anafaa

Tuache chuki binafsi, RC Chalamila anafaa

NewPage

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2021
Posts
1,321
Reaction score
2,106
Huyu ukiacha tukio lake la kuchapa viboko (tena watoto wa shule) hamna sehemu record ya matukio yake ni njema tu kwa kuwa hakuwa mtu wa visa visa.

Yeye anamaliza hapo hapo halafu kwa hekima zenye utani ndani yake. Roho yake ilikuwa ni nzuri tu na alizicheza vema siasa za mkoa huo.

Huyu mimi kupewa Mwanza ninaona anstahili kabisa kabisa - Watanzania tumpe mud an tuwe positive naye.

Yule aliyekuwa Iringa sijui bwana Hapi labda ndiyo ninaweza kutamka wazi inabidi ajilinde na kutunza hadhi yake kwa kuwa kiongozi mjifunzi na mwenye ushawishi hasi Zaidi! Ila Chalamila kwa kweli anastahili!
 
Wewe Chalamila unayejiita NewPage umejiunga March 22, 2021, baada ya Mwendazake kufariki.

Kwa hiyo unatafuta maoni ya watu. Mimi Ni mwana Mbeya nitakuambia...
Kuwa na Bajaj ni kosa? KWANZA RC anatakiwa kuwa na Kiwanda sio Bajaj.
 
Chalamila yupo vizuri sana. Ninachompenda ni pale anapokuwa na style ya uongozi kama ya JPM.
Mungu amsaidie zaidi ndugu yangu, ALBERT CHALAMILA.
Tazama na ili jinga nalo, uyo jpm inaonyesha aliwashika masaburi yenu.

Dikteta lishajiozea uko chini ya ardhi, nyie mazuzu Bado mnaliogopa na kulinyenyekea.
 
Kuwa na Bajaj ni kosa? KWANZA RC anatakiwa kuwa na Kiwanda sio Bajaj.
Akili yako ni finyu sana Kama haiwezi kuona mgongano wa masilahi kwenye suala la mgogoro wa wenye daladala dhidi ya wenye bajaj
 
Hii nchi kichaa yoyote anaweza kuwa kiongozi
Viongozi=Thinkers+Strategists+Planners waliisha Na kuzeeka.

Wengi wa waliopo ni wa mapambio na kusifu fikra za Mwenyekiti, hata kama ni mbovu kiwango cha SGR.
 
Nakubalina na wewe, I wish wangempeleka Dsm angefit sana.
 
Anapiga kazi,ni mtu wa haki
Hana magenge yake kama hso wengine

Ova
 
Chalamila tulia basi, shobo za nn tena si ushateuliwa? Hapa mtandaoni unataka nn tena?
 
Ila naamini uchawi upoo!! Yani jamaa kwenda Mwanza ni uchawi dhahiri..
 
Back
Top Bottom