DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Kwann amefeli mkuu mbona mm namuunga mkono
SawaNyie mfumo umeshawatengeneza hivyo tayari
Tatizo mnaangalia vitu hivi kwa jicho la wamarekani na ulaya ambako kuna mazingira mazuri sana ya kujiajiri.We jamaa hapa umefeli vibaya sana
Tatizo mnaangalia vitu hivi kwa jicho la wamarekani na ulaya ambako kuna mazingira mazuri sana ya kujiajiri.
Kibongo bongo iashara na kujiajiri sheria zimebana mno ndio maana waliotoboa wapo, lakini ni wachache
Ukiangalia hapa nchini watu wengi wenye magari, nyumba standard, wanaopeleka shule private watoto, n.k. ni waajiriwa.
waajiriwa sio matajiri lakini wengi wao at least wanaishi maisha standard ya uhakika, wafanyabiashara na waliokoakoro ni kundi lenye watu wengi zaidi lakini ndani yao wachache sana wameweza kuwa matajiri, wengi wanasota hawana uhakika (kufilisika, kufunga biashara, sheria kandamizi, task force, n.k.)
Boss unatumia kampuni gani kubeti?sijawahi na sitaki hata kuajiriwa na wala sjatoka familia ya kishua but mishe nazopiga kukunja 5m to 10m kawaida sana kwa mwezi
But mpaka nimefikia level hii ni kwamba nimepmbana kwa jasho na damu mzee japokuwa sometime nakula loss mpaka ya 6m but still fighting
kujiajiri kutamu mno sema kunamtaka mtu mwenye roho ya paka
Mazingira hayapo stable kwa biashara hapa Tz.Uoga na mmetengenezwa hofu ya maisha ndo maana mnaogopa kujiajiri
Nchi inahitaji watu wakuthubutu Kama Fred vunja bei
Diamond n.k
Sasa kushauri vijana na kuua mind set kuwa wasijiajiri ni kukosa kuwa na vision.
Unafikiri kila MTU akipambania hizo Ajira hali itakuaje in future
Kujiajiri au kuajiriwa inategemeana na vitu vingi pamoja na kupata fursa na background y mtuKiinua mgomgo chako kwa kazi yako utakacho lipwa. Ndio namiliki Bank.
Tofauti n PESA iliyoko kwenye mzunguko w bzness yangu.
Asante mungu kwa kunifanya niwe entrepreneur.
Jamani raha kuona PESA zako ziko ongezeka kidogo kidogo BANK mpk kua sw n kiinua mgomgo cha mtu.
Pia fresh money ni raha mnoooo. Pia likizo unajipangia uende wapi.
HII NI KWA NIA NJEMA TU
Kila mtu ashinde mechi zake.