Tuache kudanganyana, Ajira zina afadhali zaidi kuliko kujiajiri, watu wengi waliojiajiri ndio wapo kwenye utumwa

Tuache kudanganyana, Ajira zina afadhali zaidi kuliko kujiajiri, watu wengi waliojiajiri ndio wapo kwenye utumwa

Huwezi kuwa kwenye ajira na ukafanya biashara na biashara ikaenda vizuri hiyo sahau. Pia mwandishi unaongelea ukiwa umejiajiri unaumiza kichwa sana, sasa ni bora uumize kichwa kwenye mambo yako kuliko ya mwingine. Kujiajiri ni bora zaidi kuliko kuajiriwa. Kuajiriwa kunasaidia kupata pakuanzia yani kupata capital ila sio uzeekee huko ajirani. You will die poor.
 
Point ni kuwa hao anaoona wana maisha mabovu nao wanaingiza hela sawa na yeye aliyeenda shule miaka mingi. .

Yeye kaonyesha kuwa waliojiajiri ni watumwa which is not true. I stand to be corrected but I know what I am saying. .
Sasa kama unapata 900k kwa mwezi kwa kufanya kaz ya masaa 40 kwa week kwanini uteseke kutafuta 900k kwa kuamka saa 10 kwenda ilala na kufanya kwa muda mrefu kwa kuuza genge?
 
Watanzania wengi wanaojiita "Wafanyabiashara" wala sio wafanyabiashara wa kweli... ni watu wanaofanya kazi kwenye biashara zao!

Ukitaka kujua kipimo, acha biashara yako kwa miezi 3 kama ukirudi utaikuta.
 
Wewe unaongea kitu gani? Nina frem Kariakoo unajua nalipa sh ngap kwa mwaka?

Mfanyakazi analipa kodi kubwa kuliko mfanyabiashara? uchumi wetu unabebwa na wafanyabiashara kuliko wafanyakazi. .

Unajua mzigo wa PAYEE?

Mfanyakazi anaukwepaje?

Hiyo frame si ni moja ya mtaji pia?

Anyways, hiyo gharama ya frame unalinganisha na mshahara/makato na mfanyakazi Wa level gani?

Bila wafanyakazi kulipwa mzunguko Wa fedha mtaani huwa ukoje?

Kiufupi tunategemeana.
 
You are not reading between the lines. Do not take it literally. The point is hata waliojiajiri wana wafanyakazi wao. .
Unaongea na mimi au nliyem quote?

Maana kama ni mimi ndio ninacho maanisha.
 
Watanzania wengi wanaojiita "Wafanyabiashara" wala sio wafanyabiashara wa kweli... ni watu wanaofanya kazi kwenye biashara zao!

Ukitaka kujua kipimo, acha biashara yako kwa miezi 3 kama ukirudi utaikuta.

Tofautisha wafanyabiashara na wajasiriamali mkuu.
 
Hata huku akina Chama na Mayele wana pesa, ila huwezi kuwaita matajiri mbele ya kina Mo, GSM, Bakhressa, Rostam na wengine wengi. Ni kama huyo Messi na Ronaldo huwezi kuwaweka meza moja na kina Elon, Jeff Bezos, Bill Gates na wengine wengi
Unalinganisha utajiri au una maanisha sio matajiri.

Maana hata matajiri wanazidiana.
 
kotekote kuzuri tu kama umekaa pazuri.

Sasa kama umeajiliwa na kazi unaijua na mshahara wako kwa mwezi ni 15m net au zaidi unashida gani zaidi ya kuenjoy.

Kama umejiajili na una kipato cha 15mil na zaidi kimesimama shida nini.. hapo ni kipato tu.
Wanaokunja huo mshahara ni wachache Sana labda wakurugenzi wa bodi waliojiajiri wanakula Sana maisha ebu pitia hapo karikoo madukani uone watu wanavyokula maisha mtu ana mtaji wa mil 500 utamfananisha kweli na mtu aliyeajiliwa
 
Wamejiari .... sababu hakuna mpuuz anaweza kuwa control
Hahahaha... nilijua tu lazima uteme ndoano.
Mcheza mpira amejiajiri vipi?

Juzi hapo Ronaldo amezinguana na muajiri wake (Manchester) akaenda kwa muajiri mwingine Saudi Arabia.... au hujui hilo?

Mcheza mpira na kocha wote hawa ni waajiriwa... wameajiriwa na timu zao na wana mikataba ya ajira na wanalipwa mishahara.
 
Kama kujiajri kwenyewe ndio huku kwa kuendesha boda boda,kibanda Cha mpesa,duka la reja reja,ufugaji wa kuku,kuendesha Tex,kuuza genge,
Huko kote ni stress sana,
Kujiajiri kwenye nafuu ni kwa wale wanaomiriki makampuni,Tena wameajiri watu kadhaa,hata akilala nyumbani,pesa inaingia,hiyo ni level nyingine,lakini una duka la tv,na cm kariakoo,useme hiyo ajira inakupa ahueni,aaah wapi.
Hizi ajira zetu za kujiajiri ni low key,kule Kenya zinaitwa "side hustle"zinakusaidia vijipesa tu,
Ila hako ka side hustle ukikalea kakakua,unaweza ukafika hatua,unalala mambo yanaenda unakuwa umewaweka wakulungwa wengine wakufanyie kazi
Kwamana hiyo wewe unamlinganisha mfanyabiashar wa karikoo na na hawa waajiriwa wanaolipwa mishahara chini ya mil 1 hao jamaa wa kariakoo wanamizigo ya kutosha kuhudumia nchi nzima usichukulie poa mtu mtu anakuwa na hela bank sawa na kiinua mgongo cha muajiriwa
 
Ameweka comparison yake, wala hajasema kila mtu aajiriwe. Hebu soma mtiririko wa post za uzi, utaona ni kwa nini ameandika hivyo. By the way, kwani si kweli kwamba mtu anayejiajiri analazimika kuumiza kichwa chake kuhusu biashara yake?
tatizo la baadhi ya wtz uvivu tu ndio unao wasumbua wengi wao wakisitafu miezi 6 wanaanza kuokota makopo
 
Kwamana hiyo wewe unamlinganisha mfanyabiashar wa karikoo na na hawa waajiriwa wanaolipwa mishahara chini ya mil 1 hao jamaa wa kariakoo wanamizigo ya kutosha kuhudumia nchi nzima usichukulie poa mtu mtu anakuwa na hela bank sawa na kiinua mgongo cha muajiriwa

Sasa kama wanapata hela zote hizo, kwa nini wengi wanafunga biashara?

1677647331380.png
 
Huwezi kuwa kwenye ajira na ukafanya biashara na biashara ikaenda vizuri hiyo sahau. Pia mwandishi unaongelea ukiwa umejiajiri unaumiza kichwa sana, sasa ni bora uumize kichwa kwenye mambo yako kuliko ya mwingine. Kujiajiri ni bora zaidi kuliko kuajiriwa. Kuajiriwa kunasaidia kupata pakuanzia yani kupata capital ila sio uzeekee huko ajirani. You will die poor.
Wew ndo umesema point
Tuingie kwenye ajira tukasake mtaji then tusepe

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Sasa kama unapata 900k kwa mwezi kwa kufanya kaz ya masaa 40 kwa week kwanini uteseke kutafuta 900k kwa kuamka saa 10 kwenda ilala na kufanya kwa muda mrefu kwa kuuza genge?
Huyu aliyejiajiri na anapata 900k kwa month. Unachosahau wewe ni kuwa hata alipoamza alikuwa na kiwango kidogo cha Mapato na anaweza inuka akapifa zaidi ya hapo.

Aliyekuambia anafanya kwa nda mrefu ni nani? aliyesema lazima aende ilala nani? Siku hizi kuna magari ya kusambaza order yeye analala nyumbani. .

Kwa akili yako unaona leo mtu kasoma miaka nenda miaka rudi na anapata mshahara sawa na yule anayetumia uzoeefu ni sawa? Maana yake huyu akichekecha akili vizuri anaweza pata zaidi ya hapo Je wewe una chance asilimia ngap kuongeza mshahara ???
 
Back
Top Bottom