Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
I did account, finance and economics to life my happy and free life and chop money as well as make money by all means. Unyama mwingi sana school with a purpose.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamejiari .... sababu hakuna mpuuz anaweza kuwa controlUnakwepa Swali.
Mesi na Ronaldo wamejiajiri au wameajiriwa?
Wameajiriwa boss kupitia vipaji vyao.Wamejiari .... sababu hakuna mpuuz anaweza kuwa control
Hivi kwenye biashara/kujiajiri hakuna kusagiana kunguni?Waajiriwa mkubali mkatae huko makazini mnasagiana kunguni saaaaanaaaaaaaaa.
Sasa kama unapata 900k kwa mwezi kwa kufanya kaz ya masaa 40 kwa week kwanini uteseke kutafuta 900k kwa kuamka saa 10 kwenda ilala na kufanya kwa muda mrefu kwa kuuza genge?Point ni kuwa hao anaoona wana maisha mabovu nao wanaingiza hela sawa na yeye aliyeenda shule miaka mingi. .
Yeye kaonyesha kuwa waliojiajiri ni watumwa which is not true. I stand to be corrected but I know what I am saying. .
Wewe unaongea kitu gani? Nina frem Kariakoo unajua nalipa sh ngap kwa mwaka?
Mfanyakazi analipa kodi kubwa kuliko mfanyabiashara? uchumi wetu unabebwa na wafanyabiashara kuliko wafanyakazi. .
Unaongea na mimi au nliyem quote?You are not reading between the lines. Do not take it literally. The point is hata waliojiajiri wana wafanyakazi wao. .
Watanzania wengi wanaojiita "Wafanyabiashara" wala sio wafanyabiashara wa kweli... ni watu wanaofanya kazi kwenye biashara zao!
Ukitaka kujua kipimo, acha biashara yako kwa miezi 3 kama ukirudi utaikuta.
Unalinganisha utajiri au una maanisha sio matajiri.Hata huku akina Chama na Mayele wana pesa, ila huwezi kuwaita matajiri mbele ya kina Mo, GSM, Bakhressa, Rostam na wengine wengi. Ni kama huyo Messi na Ronaldo huwezi kuwaweka meza moja na kina Elon, Jeff Bezos, Bill Gates na wengine wengi
Wanaokunja huo mshahara ni wachache Sana labda wakurugenzi wa bodi waliojiajiri wanakula Sana maisha ebu pitia hapo karikoo madukani uone watu wanavyokula maisha mtu ana mtaji wa mil 500 utamfananisha kweli na mtu aliyeajiliwakotekote kuzuri tu kama umekaa pazuri.
Sasa kama umeajiliwa na kazi unaijua na mshahara wako kwa mwezi ni 15m net au zaidi unashida gani zaidi ya kuenjoy.
Kama umejiajili na una kipato cha 15mil na zaidi kimesimama shida nini.. hapo ni kipato tu.
Hahahaha... nilijua tu lazima uteme ndoano.Wamejiari .... sababu hakuna mpuuz anaweza kuwa control
Kwamana hiyo wewe unamlinganisha mfanyabiashar wa karikoo na na hawa waajiriwa wanaolipwa mishahara chini ya mil 1 hao jamaa wa kariakoo wanamizigo ya kutosha kuhudumia nchi nzima usichukulie poa mtu mtu anakuwa na hela bank sawa na kiinua mgongo cha muajiriwaKama kujiajri kwenyewe ndio huku kwa kuendesha boda boda,kibanda Cha mpesa,duka la reja reja,ufugaji wa kuku,kuendesha Tex,kuuza genge,
Huko kote ni stress sana,
Kujiajiri kwenye nafuu ni kwa wale wanaomiriki makampuni,Tena wameajiri watu kadhaa,hata akilala nyumbani,pesa inaingia,hiyo ni level nyingine,lakini una duka la tv,na cm kariakoo,useme hiyo ajira inakupa ahueni,aaah wapi.
Hizi ajira zetu za kujiajiri ni low key,kule Kenya zinaitwa "side hustle"zinakusaidia vijipesa tu,
Ila hako ka side hustle ukikalea kakakua,unaweza ukafika hatua,unalala mambo yanaenda unakuwa umewaweka wakulungwa wengine wakufanyie kazi
tatizo la baadhi ya wtz uvivu tu ndio unao wasumbua wengi wao wakisitafu miezi 6 wanaanza kuokota makopoAmeweka comparison yake, wala hajasema kila mtu aajiriwe. Hebu soma mtiririko wa post za uzi, utaona ni kwa nini ameandika hivyo. By the way, kwani si kweli kwamba mtu anayejiajiri analazimika kuumiza kichwa chake kuhusu biashara yake?
Kwamana hiyo wewe unamlinganisha mfanyabiashar wa karikoo na na hawa waajiriwa wanaolipwa mishahara chini ya mil 1 hao jamaa wa kariakoo wanamizigo ya kutosha kuhudumia nchi nzima usichukulie poa mtu mtu anakuwa na hela bank sawa na kiinua mgongo cha muajiriwa
Wew ndo umesema pointHuwezi kuwa kwenye ajira na ukafanya biashara na biashara ikaenda vizuri hiyo sahau. Pia mwandishi unaongelea ukiwa umejiajiri unaumiza kichwa sana, sasa ni bora uumize kichwa kwenye mambo yako kuliko ya mwingine. Kujiajiri ni bora zaidi kuliko kuajiriwa. Kuajiriwa kunasaidia kupata pakuanzia yani kupata capital ila sio uzeekee huko ajirani. You will die poor.
Huyu aliyejiajiri na anapata 900k kwa month. Unachosahau wewe ni kuwa hata alipoamza alikuwa na kiwango kidogo cha Mapato na anaweza inuka akapifa zaidi ya hapo.Sasa kama unapata 900k kwa mwezi kwa kufanya kaz ya masaa 40 kwa week kwanini uteseke kutafuta 900k kwa kuamka saa 10 kwenda ilala na kufanya kwa muda mrefu kwa kuuza genge?