Tuache kudanganyana, Ajira zina afadhali zaidi kuliko kujiajiri, watu wengi waliojiajiri ndio wapo kwenye utumwa

Tuache kudanganyana, Ajira zina afadhali zaidi kuliko kujiajiri, watu wengi waliojiajiri ndio wapo kwenye utumwa

Nimeajiriwa ila nataman kujiajiri ila kila deal nayowaza naona kama hailipi nipeni idea
 
Highest form ya utumwa ni ya consciousness. Unajengewa picha ya kuwa bila mkoloni wewe ni bure. Bora mtumwa mwenye shibe kuliko mtu huru mwenye njaa. Unachoandika ni fear of responsibility that comes with freedom. You just want to be there conforming in comfort. Moja ya highest forms za maisha ni leaving a mark in the world. You can't do this while employed. In fact ukiwa employed inasaidia wengine ktk kuacha mark. Unakuwa foot soldier.


Having said that, sio kila mtu ana vinasaba hivi and it's in order of the natural selection. Wengine watajiajiri wengine wataajiriwa, wengine wataongoza na wengine wataongozwa.
 
Highest form ya utumwa ni ya consciousness. Unajengewa picha ya kuwa bila mkoloni wewe ni bure. Bora mtumwa mwenye shibe kuliko mtu huru mwenye njaa. Unachoandika fear of responsibility that comes with freedom. You just want to be there conforming in comfort. Moja ya highest forms za maisha ni leaving a mark in the world. You can't do this while employed. In fact ukiwa employed inasaidia wengine ktk kuacha mark. Unakuwa foot soldier.


Having said that, sio kila mtu ana vinasaba hivi and it's in order of the natural selection. Wengine watajiajiri wengine wataajiriwa, wengine wataongoza na wengine wataongozwa.
[emoji1666]
 
Hoja zako za kipuuzi sana. Kuwa aliyejiajiri anaumiz kichw kuliko aliyeajiriwa ni upuuzi. Wafanyakazi wanaumiza vichwa zaidi. Leo hii ukiwa umeajiriwa ndio unakuwa mtumwa kwa mwajiri wako. Aliyejiajiri yuko huru na ukweli utabaki hivyo hakuna wa kumtuma wala kutumwa. .

kifupi tu asilimia kubwa wanaoajiriwa hawawez kuwa leaders au hata viongozi wa familia kwa kuwa washazoea kuongozwa na kusimamiwa. Kuna wengi wamekataa kuajiriwa mimi ni msomi wa chuo kikuu na sijawahi kuhangaika na kuajiriwa. Licha ya familia kuweka shinikizo kivwa sana lakini nilikataa kuajiriwa. .

Huna uthubutu wa kuongoza biashara. Unayemdharau na biashara zake unakuta analipia
1. Kodi za kukandamizwa TRA mara mbili yako

2. Analipa kodi ya fremu mda mwingine unakuta mtu analipia fremu mshahara wa aliyeajiriwa.

3. Analipa ulinzi shirikishi, Halmashauri, service Levy, hela ya takataka, fire extinguisher, hela ya umeme etc. Gharama za taka, maji na umeme analipia pia nyumbani

5. Huyu aliejiajiri ana mfanyakazi tena ukute ana mawazo mgando kama yako. Tena wengine wana wafanyakazi zaidi ya mmoja. .

Kuna jamaa namfahamu bodaboda kuna siku anaimgiza mpaka elfu 70. Akiingiza hela ndogo ni elfu 30 per day. Pikipiki ya kwake na yuko makini. Mbali na hivyo kajenga Moshi na sasa ana nyumba anajenga Msumi. Hata mimi nimemzidi elimu ila ananihamasisha kujituma kwa bidii. .

Unanichosha kuandika mda mwingine mjinga kaa kimya unaweza jisumbua kumwelewesja ma hawezi elewa. Kuna watu wana magenge wanalaza 900k mzee. Shida kubwa kwa hawa elimu ndogo na wameridhika ila wangekuwa na elimu wangekuwa maboss zako. Acha dharau Dogo. .
 
Re-tired. ( Kuchishwa na Kuchishwa tena)
Ondoa Re Unabaki Tired.
Hiko ndicho kinawakuta waajiriwa wengi hapa nchini.
Mtu kachoka anatembelea kwenye kingo plus umri umekwenda mbele giza.
Kikubwa Fanyeni kazi kwa malengo na sio kukomaa kwenye kupariria ndoto za watu.
Ajira iwe Meza ya kusimamia.
WENGI MNATAKA KUAJIRIWA KAMA SEHEMU YA ULINZI
 
Duniani kote hauwezi kupata financial freedom kama umeajiriwa, ndio sababu hata aliyeajiriwa anajitahidi kufanya uwekezaji binafsi ili ajiajiri mfano ronaldo cristiano kaajiriwa lakini nae kajiajiri kwa kufungua migahawa ya pestana karibu dunia nzima,
 
Kwani Liverpool VPN anasemaje?

Una stand wapi kiongozi? Maana najua we upo kote kote

Uncle bright
Braza Mimi ni mtumishi wa umma kwa muda wa miaka 11 (since 2012)
Nilianza chini sanaa kutoka ofisa wa chini sanaa mpaka sasa Nina haka la masters.

Ila pia ni mfanyabiashara kwa miaka mi 2 sasa (2021).

In nutshell:-
Ni Bora kubwa sanaa kujiajiri kwenye biashara kuliko ajira ya serikali.

Na muda mwengine najuta kwanini sikuanza biashara mapema.

Ajira na hasa hii ya serikali ni UFALER MKUBWA SANAAA.

#YNWA
 
Uncle bright
Braza Mimi ni mtumishi wa umma kwa muda wa miaka 11 (since 2012)
Nilianza chini sanaa kutoka ofisa wa chini sanaa mpaka sasa Nina haka la masters.

Ila pia ni mfanyabiashara kwa miaka mi 2 sasa (2021).

In nutshell:-
Ni Bora kubwa sanaa kujiajiri kwenye biashara kuliko ajira ya serikali.

Na muda mwengine najuta kwanini sikuanza biashara mapema.

Ajira na hasa hii ya serikali ni UFALER MKUBWA SANAAA.

#YNWA
Utasikia Job Security
 
Binafsi nimeacha ajira yenye mshahara wa 1,050,000 Gross take home ilikuwa 830,750 niliacha nikafanga mishe zangu za kajiajiri Leo Nina staff 3 na maisha yanakwenda japo kuna maswala kadhaa nimepunguza kama matumizi yasio na ulazima kipato napata mpaka mara 3 ya mshahara wangu nilikuwa nakupata
 
Back
Top Bottom