Tuache kudanganyana, Ajira zina afadhali zaidi kuliko kujiajiri, watu wengi waliojiajiri ndio wapo kwenye utumwa

Tuache kudanganyana, Ajira zina afadhali zaidi kuliko kujiajiri, watu wengi waliojiajiri ndio wapo kwenye utumwa

Mimi nina bamdogo wangu anaishi jijini hapa amejiajiri yeye kila siku anafunga biashara yake saa nne usiku namwonaga anateseka sana na hana sikukuu wala jumapili, akishatoka kanisan anaingia kwenye biashara yake mpaka saa 4 chakula cha usiku anakula saa tano hadi saa sita. Lakini nina bamdogo mwingine yeye ameajiriwa na kwenye hiyo kazi yake kuna mda anakua free anakaa home mpaka itokee kazi anaitwa anaenda na analipwa mwisho wa mwezi hela nzuri. Hapo ushauri tusifate mkumbo wa kutamani kuwa kama Azam na Mo kwasababu Mungu ametuumba watu wachache tuwe matajiri wakubwa na watu wengi tuwe na maisha ya kiwango flan cha kawaida. Embu fikiria kila mtu akiwa kama Mo tajiri namba moja Tanzania tuwe ni watu milion60, Haiwezekani
Ufafanuzi wa kijinga sana, Kuajiriwa ni utumwa, tu, na pia huwezi pima kwba mtu anateseka ana teseka kivipi? Kula saa 5 ndio kuteseka? Kufanya kazi hadi Jumapili ndio kuteseka? Ndio ujinga mnao jazana?
 
Si mtoto wa kiume unafurahi kabisa eti unapata pesa za dezo. Sasa kuliko unasaga soli kudandia daladala huko Mbagala kwenda Posta we lala jioni nenda pale utapata za dezo ambazo hazitakuletea karaha ya kupakazana jasho huko Mbagala charambe
Hapana, ushauri wako mbaya, endelea tu na hayo mambo, ulishayazoea. Mimi kwangu ni mpiga kampeni mkubwa against hayo
 
Hapana, ushauri wako mbaya, endelea tu na hayo mambo, ulishayazoea. Mimi kwangu ni mpiga kampeni mkubwa against hayo
Muajiriwa huyo anayepata 2m ya perdiem within a week akienda mkoa 😂😂😂
Nadhani nimemuotea tu Kanji hizi siku mbili, lakini Virtual huwa naitumia kupandisha tu mtaji, nikipata 20k ninawithdraw halafu napeleka kwenye sports, maana huwa haikawiagi kukomba kila kitu. Sema nimenogewa tu 🤣

View attachment 2372188
 
Kama waajiriwa wenyewe ndo hawa wanabet 2100 alafu wanajisifu humu wanalipwa allowance ambazo ni kodi za wafanyabiashara aisee huko kutakuwa na stress za kufa..

Nachagua EPL na La Liga. Lakini sio kufungana tu, hata kutofungana huwa nachagua pia, naangalia mechi zenye odds ndogo ndogo 😄😄😄
Mfano hii:
View attachment 2371881
 
Muajiriwa huyo anayepata 2m ya perdiem within a week akienda mkoa 😂😂😂
Ninaweka mzigo kila weekend na kwenye mechi kubwa kubwa katikati ya week, hiyo ni hobby na sijajua kama nitaiacha. Lakini hilo halizuii kuwa ninakomba perdiem zenu, tena wakati mwingine naweka mizigo nikiwa ofisini 😁😁😁
 
Hahahaha sawa endelea na fantasy world yako mkuu
 
Mimi sisubirii mafao maana hayo yapo tu. Kwa sasa nakula allowance na perdiem ambazo ni kodi ya waliojiajiri. Huyo unayesema simkuti, sasa si ni mpaka akoma? Mimi hata bila kukomaa najaza tu safari ya mkoani, nikirudi nachukua 2M
But hiyo Ina mwisho mkuu jipange
 
Twende Mbele turudi nyuma, saiz kila mtu anapambana aajiriwe kwanza, hayo mambo ya kujiajiri yanakuja baada ya kuajiriwa.
Kati ya watu wasio na furaha ni walioajiriwa,hakuna siku mshahara umetosha, masimango huko kazini, fitina na wafanyakazi wenzako, ajira huisha ghafla hata kama ni mkataba wa miaka mitano kazi ikiisha unapewa mshahara wa mwezi mmoja tuu kama wa notice, baada ya hapo utaishije..?
 
sijawahi na sitaki hata kuajiriwa na wala sjatoka familia ya kishua but mishe nazopiga kukunja 5m to 10m kawaida sana kwa mwezi

But mpaka nimefikia level hii ni kwamba nimepmbana kwa jasho na damu mzee japokuwa sometime nakula loss mpaka ya 6m but still fighting

kujiajiri kutamu mno sema kunamtaka mtu mwenye roho ya paka
Na mwisho wa siku lazima uwe mshirikina sana kulinda biashara zako,ndio utumwa wenyewe huo
 
Kama kujiajri kwenyewe ndio huku kwa kuendesha boda boda,kibanda Cha mpesa,duka la reja reja,ufugaji wa kuku,kuendesha Tex,kuuza genge,
Huko kote ni stress sana,
Kujiajiri kwenye nafuu ni kwa wale wanaomiriki makampuni,Tena wameajiri watu kadhaa,hata akilala nyumbani,pesa inaingia,hiyo ni level nyingine,lakini una duka la tv,na cm kariakoo,useme hiyo ajira inakupa ahueni,aaah wapi.
Hizi ajira zetu za kujiajiri ni low key,kule Kenya zinaitwa "side hustle"zinakusaidia vijipesa tu,
Ila hako ka side hustle ukikalea kakakua,unaweza ukafika hatua,unalala mambo yanaenda unakuwa umewaweka wakulungwa wengine wakufanyie kazi
Endesha bodaboda, weka akiba nunua nyingine mpe mtu aendeshe kwa mkataba na chain ya pesa inaanzia hapo
 
Najua kwa haraka haraka mtafikiria kunijibu kwamba "Mwajiri hawezi fikia mafanikio ya Mo ai Bakhresa" ....vuta pumzi tulia!! Hao kina Mo watoe akilini mwako maana wapo kundi tofauti kabisa ni wafanyabiashara waliofikia mafanikio ya biashara zao kujiendesha hata wakiwa wamelala.

Mtu mwenye ajira hapa bongo serikalini ana nafuu zaidi maana mwisho wa mwezi mwajiriwa ana uhakika ila aliejiajiri ni juhudi zake, akipoteza mda imekula kwake.

Mwajiriwa hata akifiwa, akiumwa, akioa/kuolewa, anapewa kalikizo.. hapo kila jumamosi na jumapili yupo free, bado ana likizo ya mwezi moja kila mwaka, sherehe za serikali na za dini haendi kazini, Ana muda mwingi wa kuweza kupumzika na familia na kufanya shughuli za kijamii.

Wafanyabiashara wengi nawajua tangu nimepata akili za kuijua dunia mpaka leo hii wao siku ya kupumzika ni christmas tu, wenye nafuu huwa wanapumzika jumapili pekee, siku zingine hizo ni bampa to bampa wanaondoka alfajiri wanarudi usiku, yani hata muda wa kuspend na watoto hawana,

Ukiwa kwenye ajira unaweza kujiajiri pia

Nani mtumwa hapo

Obviously kwenye huu mjadala kila mtu atavutia upande wake. Personally kazi yangu naiona kama utumwa ila inanipa kipato ambacho most of my peers nimewaacha.

Natamani kufanya biashara lakini nafasi hiyo sina na kazi yangu hairuhusu kunipa muda huo wa kufanya side hustle.

So siwezi kuikashifu kazi yangu but kutoka kwenye thread hii na mifano mingi ya watu basi kuna ishu sana watanzania kuelewa nini tunataka.

Nipo kwenye shirika ambalo new entry employee mshahara na posho anakunja on average 4M, hapo bado ana allowance za nyu maji umeme etc na bima everything iko covered. Hii ni more than the average house income ya watanzania wengi ikiwemo hata wengi walio toa mifano kwenye hii thread.

So yawezekena kwa wafanyabiashara wengine atakua ana earn kidogo lakini tukiweka on average kwa hapa Tanzania bado ana mshahara mzuri sana ambao kum-convince kuacha just for the sake ya biashara inakua haina mantiki.

Kujiajiri vs Kuajiriwa pia ni ndoto za mtu! Wengine hizo ndoto hawana ila zinaweza kuwa developed kwa mentorship so kuajiriwa ina kua bridge ya kujiajiri especially kwa familia zetu za kitanzania.

Kwa ufupi kila mtu ashinde mechi zake hamna haja ya kuwabeza wa upande mmoja.
 
Najua kwa haraka haraka mtafikiria kunijibu kwamba "Mwajiri hawezi fikia mafanikio ya Mo ai Bakhresa" ....vuta pumzi tulia!! Hao kina Mo watoe akilini mwako maana wapo kundi tofauti kabisa ni wafanyabiashara waliofikia mafanikio ya biashara zao kujiendesha hata wakiwa wamelala.

Mtu mwenye ajira hapa bongo serikalini ana nafuu zaidi maana mwisho wa mwezi mwajiriwa ana uhakika ila aliejiajiri ni juhudi zake, akipoteza mda imekula kwake.

Mwajiriwa hata akifiwa, akiumwa, akioa/kuolewa, anapewa kalikizo.. hapo kila jumamosi na jumapili yupo free, bado ana likizo ya mwezi moja kila mwaka, sherehe za serikali na za dini haendi kazini, Ana muda mwingi wa kuweza kupumzika na familia na kufanya shughuli za kijamii.

Wafanyabiashara wengi nawajua tangu nimepata akili za kuijua dunia mpaka leo hii wao siku ya kupumzika ni christmas tu, wenye nafuu huwa wanapumzika jumapili pekee, siku zingine hizo ni bampa to bampa wanaondoka alfajiri wanarudi usiku, yani hata muda wa kuspend na watoto hawana,

Ukiwa kwenye ajira unaweza kujiajiri pia

Nani mtumwa hapo
A salary is the drug they give you to forget your dreams.
 
akili za kijinga kabisa ulitaka wote waajiriwe au ilidhani kujiajili hakuna changa moto tambua kazi kubwa kuliko yote duniani nikuzalisha hela na kuishi kwa kutumia fwaida na kukuza mtaji
Punguza jazba unakuwa kama hujajiajiri [emoji23][emoji23] kingine soma uzi wote uelewe naona umechagua angle moja.

By the way mie jobless nipo nipo tu mkuu
 
Back
Top Bottom